Nyumba hii itatumia bati ngapi?

Nyumba hii itatumia bati ngapi?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Wakuu,

Nimeambatanisha roof plan ya nyumba ambayo imeshajengwa hivyo imebaki kuezekwa.

Nategemea kutumia bati za versatile, hivyo kwa wazoefu mliopo humu ndani nitashukuru sana kama mtaweza kunikadiria idadi ya bati zitakazo tumika ili kujiandaa ipasavyo. Asanteni sana
Screenshot_20211228-204205_OneDrive.jpg
 
Wakuu,

Nimeambatanisha roof plan ya nyumba ambayo imeshajengwa hivyo imebaki kuezekwa.

Nategemea kutumia bati za versatile, hivyo kwa wazoefu mliopo humu ndani nitashukuru sana kama mtaweza kunikadiria idadi ya bati zitakazo tumika ili kujiandaa ipasavyo. Asanteni sana View attachment 2060971
Ukimpa hii plan fundi wako wa kuezeka atakupa majibu sahihi.
 
Wakuu,

Nimeambatanisha roof plan ya nyumba ambayo imeshajengwa hivyo imebaki kuezekwa.

Nategemea kutumia bati za versatile, hivyo kwa wazoefu mliopo humu ndani nitashukuru sana kama mtaweza kunikadiria idadi ya bati zitakazo tumika ili kujiandaa ipasavyo. Asanteni sana View attachment 2060971
Aproximately RM820
Versatiles 820x 19,000=15,580,000

Ila hapo bado kofia zitagharimu appx. 1,200,000 na misumary 400,000

Mbao kama unanunua Dar ni appx. 6,500,000 (mbao za paa na draft na assume unafanya kwa pamoja)

Fundi 4,000,000

Hapa inabidi uwe na 30,000,000 cash ili usikwame njiani. Hiyo nyumba ni kubwa sana

Kila la heri mkuu niliwahi pitia haya maumivu sitasahau
 
RM inasimama badala ya nini mkuu?
 
RM inasimama badala ya nini mkuu?
Run Meter. Ni urefu wa jumla wa bati utakazohitaji. Hata fundi wako atakuwambia utahitaji RM kadhaaa....maraa baada ya kujua total RM ndipo kiwandani wanakata kutokana na urefu unaotaka kadri ya mahitaji ya paa lako.
 
Asante sana
 
Wakuu,

Nimeambatanisha roof plan ya nyumba ambayo imeshajengwa hivyo imebaki kuezekwa.

Nategemea kutumia bati za versatile, hivyo kwa wazoefu mliopo humu ndani nitashukuru sana kama mtaweza kunikadiria idadi ya bati zitakazo tumika ili kujiandaa ipasavyo. Asanteni sana View attachment 2060971
Hii mikunjo yote ya nini jamani
 
Aproximately RM820
Versatiles 820x 19,000=15,580,000

Ila hapo bado kofia zitagharimu appx. 1,200,000 na misumary 400,000

Mbao kama unanunua Dar ni appx. 6,500,000 (mbao za paa na draft na assume unafanya kwa pamoja)

Fundi 4,000,000

Hapa inabidi uwe na 30,000,000 cash ili usikwame njiani. Hiyo nyumba ni kubwa sana

Kila la heri mkuu niliwahi pitia haya maumivu sitasahau
Paa tu 30M?

Tutajenga kweli?

Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
 
Sio mchezo hiyo gharama aisee.
 
Paa tu 30M?

Tutajenga kweli?

Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Hiyo nyumba ni kubwa na pia aina ya bati analotaka kutumia ni ghali vile vile. We nenda kiwanda chochote cha bati uliza bei ya versatile gauge 28 uone bei utakayoambiwa. Wala usiende Alaf we nenda viwanda vya mtaani ambako bei ni nafuu kuliko Alaf
 
Aproximately RM820
Versatiles 820x 19,000=15,580,000

Ila hapo bado kofia zitagharimu appx. 1,200,000 na misumary 400,000

Mbao kama unanunua Dar ni appx. 6,500,000 (mbao za paa na draft na assume unafanya kwa pamoja)

Fundi 4,000,000

Hapa inabidi uwe na 30,000,000 cash ili usikwame njiani. Hiyo nyumba ni kubwa sana

Kila la heri mkuu niliwahi pitia haya maumivu sitasahau
Mkuu ikiwa bati moja ft10 ni 3m, kwa hiyo hii nyumba inahitaji bati 820/3 ambazo ni 274?
 
Yes. Uko sahihi kabisa mkuu.

Lakini kwa bati anazotaka yeye huwa kiwandani wanakata kwa urefu tofauti maana paa lake kuna sehemu litahitaji bati ndefu zaidi ya meta 3 na pengine fupi labda meta 2 au 1.5

Ukinunua bati hizo za meta 3 scraps zitakuwa nyingi sababu ya design ya bati lake
 
Back
Top Bottom