Nyumba hii ni ndogo au kubwa?

Nyumba hii ni ndogo au kubwa?

Administer

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
1,271
Reaction score
1,604
Naomba kuuliza nyumba yenye urefu na upana wa futi 30 hiyo ni nyumba ndogo au kubwa?
 
Vyumba hivi vya kujibinya huwa ni futi 10, hivyo futi 30 ni vyumba vi3. Sasa hapo maana yake urefu wa vyumba vi3, upana vyumba vi3 au kiswahili ni upana na urefu wa mita 10⅓. Ni saizi ndogo kwa akili ya haraka haraka.
 
Back
Top Bottom