Nyumba hii nimeijenga kwa miaka mitatu

Hongera kwako
 
Kanda ya ziwa mnakosea sana,vyumba vya watoto kuwa na milango ya nje.usiku watoto wanatoroka kwenda kutombanna matokeo yake mimba za utotoni.
Nyumba iwe na mlango mmoja mkubwa ,wote muingilie humo mtokee humo
 
Mkuu huyo mtoto mwenye gauni la kijani tulete mahari?
 
Kanda ya ziwa mnakosea sana,vyumba vya watoto kuwa na milango ya nje.usiku watoto wanatoroka kwenda kutombanna matokeo yake mimba za utotoni.
Nyumba iwe na mlango mmoja mkubwa ,wote muingilie humo mtokee humo
Hii nyumba niyakuanzia nyumba kubwa ni msingi huo hapo kama umeona unatokeza hapo huo mlango wa mwisho ni jiko hicho cha kati ni chumba cha kujitegemea ambacho ni self nikikamilisha nyumba kubwa napangisha hicho.
 
Hongera sana
 
Hongera sana

Lakini nakukumbusha maendeleo hayatangazwi jifunze kukaa kimya
Watu hawatangazi mali zao kwa sababu ya uchafu unaotumika kupata mali hizo !
Dogo inaonekana yupo genuine sana kwenye kutafuta kipato chake kujipongeza ni haki yake.
 
Hongera,huyo mwenye gauni kashika baiskeli hapo ndiyo nani?
 
Zingatia umbali wa kisima cha maji na Karo la choo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…