Nyumba inapangishwa kwa bei rahisi sana

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,559
Nyumba inapangishwa, ina sifa zifuatazo

1-ina vyumba vinne.

2-ina choo cha ndani na nje.


3-ina jiko la ndani

4-ina stoo

5-bafu la ndani

6-sebule nzuri sana ya kuvutia

7-sehemu ya kulia chakula


8-ina maji

9-ina umeme

10-ina fence

Nyumba hii inapangishwa kwa sh laki mbili na nusu na ipo Ukonga Moshi Bar.

Unaweza kulipa kwa mwezi, miezi, mwaka kulingana na uwezo wako.

Kwa aliye serious aje PM.
 
Picha tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha iambatanishwe kwanza.
 
kama utataka kuiona uje physically kuiona hutaki basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…