PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,229
[emoji3] tatizo dalali mbwembwe nyingiiisawa haina shida, mimi dalali, then unaweza kwenda, kwani tatizo lipo wapi?
Mara ooh mimi siamini mitandao na uko mtandaoni unatangaza
[emoji3] tatizo dalali mbwembwe nyingiiisawa haina shida, mimi dalali, then unaweza kwenda, kwani tatizo lipo wapi?
100% hujakoseaUshauri : Kuweni makini na picha mnazoamua ziwe kama profile pic zenu, kwa sababu kwa namna moja ama nyingine zinaweza kuathiri utendaji wa akili ya muhusika. Rejea majibu ya mtoa mada.
Basi weka picha!mbona tunachafuliana uzi asee?
Inaboa sana aiseeWatanzania huwa tunakera sana kwenye swala zima la kutangaza biashara, yan zero kabisa, kila siku had mtu akwambie weka pics, tubadilike
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri : Kuweni makini na picha mnazoamua ziwe kama profile pic zenu, kwa sababu kwa namna moja ama nyingine zinaweza kuathiri utendaji wa akili ya muhusika. Rejea majibu ya mtoa mada.
mbona tunachafuliana uzi asee?
Poa bana una biti, eti nyumba yakoUmeshindwa conditions zangu za kutoweka picha, ina maanisha pia mimi na wewe tumeshindwana na kama ndio hivyo hakuna haja ya kuendeleza maongezi, wafuate unaowaona una ridhika nao.
Nyumba inapangishwa, ina sifa zifuatazo
1-ina vyumba vinne.
2-ina choo cha ndani na nje.
3-ina jiko la ndani
4-ina stoo
5-bafu la ndani
6-sebule nzuri sana ya kuvutia
7-sehemu ya kulia chakula
8-ina maji
9-ina umeme
10-ina fence
Nyumba hii inapangishwa kwa sh laki mbili na nusu na ipo Ukonga Moshi Bar.
Unaweza kulipa kwa mwezi, miezi, mwaka kulingana na uwezo wako.
Kwa aliye serious aje PM.
Kama una nia utamfuata PM. Atakuwekea huko ukiona hivyo ujue hakuna mwenye nia.Watanzania huwa tunakera sana kwenye swala zima la kutangaza biashara, yan zero kabisa, kila siku had mtu akwambie weka pics, tubadilike
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani picha ni mpaka uiweke yote fulu fwaaaa.sawa mimi dalali, ila dharau acha.
Unataka niweke picha humu haujui kwamba tunatumia fake id's, sasa kama nitaweka nyumba yangu hauoni kwamba nitajulikana mimi ni nani?
Vitu vingine uwe unajifikiria aisee negativity haijengi.
kumbe una nyumbasawa mimi dalali, ila dharau acha.
Unataka niweke picha humu haujui kwamba tunatumia fake id's, sasa kama nitaweka nyumba yangu hauoni kwamba nitajulikana mimi ni nani?
Vitu vingine uwe unajifikiria aisee negativity haijengi.
Ila kutangaza mtandaoni ulikuwa "comfortable"!!??? Amakweli vilaza hawawezi kuisha nchi hii!Suala la kuweka picha mitandaoni kwa kweli sipo nalo comfortable
Hahahkumbe una nyumba