Nyumba inapangishwa kwa bei rahisi sana

Nyumba inapangishwa kwa bei rahisi sana

Poa Kaka dalali
sawa mimi dalali, ila dharau acha.

Unataka niweke picha humu haujui kwamba tunatumia fake id's, sasa kama nitaweka nyumba yangu hauoni kwamba nitajulikana mimi ni nani?

Vitu vingine uwe unajifikiria aisee negativity haijengi.
 
Kwa hiyo huyo mtu ambaye utampeleka site hatojua wewe ni nani?
 
Wakati unawaza kuweka humu tangazo hukuwaza hilo
 
Kwa hiyo huyo mtu ambaye utampeleka site hatojua wewe ni nani?
Of course atanijua yeye tu, ila majority hawatanijua hivyo nitabaki kuwa anonymous.

Halafu kingine humu mizaha mingi, inamana kama mtu atakuja physically ina maana atakuwa na u serious fulani.
 
Hawa ndio wezi uende akakutapeli
sasa namtapeli vipi?

umeona wapi mtu analipa pesa bila kuridhika na kitu anachokihitaji?

Mwisho akiona vipi si aje na wenzake tu kwani shida iko wapi asee?
 
Wakati unawaza kuweka humu tangazo hukuwaza hilo
Umeshindwa conditions zangu za kutoweka picha, ina maanisha pia mimi na wewe tumeshindwana na kama ndio hivyo hakuna haja ya kuendeleza maongezi, wafuate unaowaona una ridhika nao.
 
sawa mimi dalali, ila dharau acha.

Unataka niweke picha humu haujui kwamba tunatumia fake id's, sasa kama nitaweka nyumba yangu hauoni kwamba nitajulikana mimi ni nani?

Vitu vingine uwe unajifikiria aisee negativity haijengi.
Wewe ni nanii[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Chuo umemaliza kwanza??
 
Ushauri : Kuweni makini na picha mnazoamua ziwe kama profile pic zenu, kwa sababu kwa namna moja ama nyingine zinaweza kuathiri utendaji wa akili ya muhusika. Rejea majibu ya mtoa mada.
kirakapacha una maana gani?
 
Wizi mtupu!!
Et nyumba yangu ada tu imekushinda kutwa unamsakama magufuli kakunyima mkopo humu.
Udalali unalipa ila jifunze biashara
sawa haina shida, mimi dalali, then unaweza kwenda, kwani tatizo lipo wapi?
 
Back
Top Bottom