Poa Kaka dalalisio lazima aisee, unataka poa, hutaki piga chini, jichange ujenge ya kwako.
😀😀😀
sawa mimi dalali, ila dharau acha.Poa Kaka dalali
Kwa hiyo huyo mtu ambaye utampeleka site hatojua wewe ni nani?sawa mimi dalali, ila dharau acha.
Unataka niweke picha humu haujui kwamba tunatumia fake id's, sasa kama nitaweka nyumba yangu hauoni kwamba nitajulikana mimi ni nani?
Vitu vingine uwe unajifikiria aisee negativity haijengi.
hahaha Nyumba sijui anaogopa kutekwa na kina majembe usikute yuko wanted😀😀😀
Huyu anauza nini mbona msiri hivi
Kilichokufanya uweke tangazo mtandaoni ni nini???Suala la kuweka picha mitandaoni kwa kweli sipo nalo comfortable
Wakati unawaza kuweka humu tangazo hukuwaza hilosawa mimi dalali, ila dharau acha.
Unataka niweke picha humu haujui kwamba tunatumia fake id's, sasa kama nitaweka nyumba yangu hauoni kwamba nitajulikana mimi ni nani?
Vitu vingine uwe unajifikiria aisee negativity haijengi.
Of course atanijua yeye tu, ila majority hawatanijua hivyo nitabaki kuwa anonymous.Kwa hiyo huyo mtu ambaye utampeleka site hatojua wewe ni nani?
Hawa ndio wezi uende akakutapeli
Wewe ni nanii[emoji1] [emoji1] [emoji1]sawa mimi dalali, ila dharau acha.
Unataka niweke picha humu haujui kwamba tunatumia fake id's, sasa kama nitaweka nyumba yangu hauoni kwamba nitajulikana mimi ni nani?
Vitu vingine uwe unajifikiria aisee negativity haijengi.
Wizi mtupu!!sasa namtapeli vipi?
umeona wapi mtu analipa pesa bila kuridhika na kitu anachokihitaji?
Mwisho akiona vipi si aje na wenzake tu kwani shida iko wapi asee?
[emoji2] field umemaliza dogo?povu la nini asee?
hujaridhika na matakwa yangu basi
maana umenikwaza sana kuniita tapeli.