Nyumba inapangishwa kwa bei rahisi sana

Ushauri : Kuweni makini na picha mnazoamua ziwe kama profile pic zenu, kwa sababu kwa namna moja ama nyingine zinaweza kuathiri utendaji wa akili ya muhusika. Rejea majibu ya mtoa mada.
100% hujakosea
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ushauri : Kuweni makini na picha mnazoamua ziwe kama profile pic zenu, kwa sababu kwa namna moja ama nyingine zinaweza kuathiri utendaji wa akili ya muhusika. Rejea majibu ya mtoa mada.
 
Tangazo unatangaza kwenye wall, lakini bei unaweka inbox,

Ni vizuri na tangazo ungetangaza inbox

 
Tangazo unatangaza kwenye wall, lakini bei unaweka inbox,

Ni vizuri na tangazo ungetangaza inbox
bei ipi hiyo nimeiweka inbox?


embu soma vizuri kwanza.
 
sawa mimi dalali, ila dharau acha.

Unataka niweke picha humu haujui kwamba tunatumia fake id's, sasa kama nitaweka nyumba yangu hauoni kwamba nitajulikana mimi ni nani?

Vitu vingine uwe unajifikiria aisee negativity haijengi.
Kwani picha ni mpaka uiweke yote fulu fwaaaa.

Waweza kupiga picha vyumba ndani, vyoo, bafu, jiko, baraza n.k.

...akili ni nywele kila mtu anazo zake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…