Hata kwny kuomba achangiwe ada ya chuo amekua mkali hivyo hivyo.Duh, huyu jamaa ni mkali, inaonyesha ukienda kuona nyumba usiporidhika nayo unachezea vitasa.
Atakuwa alikuwa anadalalia jamani
Hapa ni mtandaoni. Picha ni lazima.ndio, kwani kuna ubaya gani?
Atakuwa alikuwa anadalalia jamani
Hapa nilipojibanza pananitosha mkuu πNimekuita tu..kama unahitaj nyumba
Jamaa ana misimamo, atakuja kufanikiwa sana baadae πhahahhahaa huyu naamini hata mahusiano na wenzake ni ya shida sana even mama pia huenda anamdharau sana.. (just thinking)
Mi nakwambia π€£π€£π€£Hivi eh!