House4Rent Nyumba inapangishwa

JMWAKA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
739
Reaction score
652
Salamu salama... Humu ndani
Napangisha nyumba na sebule yake ambayo. Ni master yani Chumba chenye choo ndani na sebule yake pamoja na jiko vyote vipo ndani , ipo maeneo ya mwenge karibu kabisa na bamaga na ITV stend ipo ndani ya geti kama una gari parking ipo ya kutosha na maji ni uhakika 24/7 bei yake ni laki2 tu kwa mwezi

Mawasiliano zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ntakutafuta jioni, I Hope we sio dalali
 
Huu muonekano wa sehemu ya maliwato ndo uko hivi hivi au hapo bado hapajasafishwa?

-Ndumilakuwili-
 
punguza bei mkuu laki na nusu nichukue nyumba hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…