House4Sale Nyumba inauzwa 10.5m na benki kwa njia ya mnada

Joined
Jun 11, 2011
Posts
82
Reaction score
46
Habari JamiiForums members.

Nyumba inauzwa na benki kwa njia ya mnada. -- Nyumba ipo Mbezi, Msingwa

--Nyumba ina kiwanja chenye ukubwa wa 520sq/m-- Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja master, seating na dyning room -- Nyumba ina hati ya ardhi-- BEI NI (10m + 5% commission ya brokers)

--Mawasiliano: 0784379396 & 0767309797 ( calls & sms & watsaap)
 
Kweli kabisa unatuita ati nyumba inauzwa, GT kabisa wa JF [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 


Nyumba inauzwa kwa mnada, halafu wewe una bei tayari, huu si wendawazimu?
 
Hii nyumba au pagale?
 
Ni nyumba au PAGALA unajua maana ya nyumba bwashehe


Huyo alokopa ameamua kuuzia benki pagala hilo kiaina watu wahuni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…