House4Sale Nyumba inauzwa Bahari Beach

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
3,203
Reaction score
2,227
Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni self
Ukubwa wa plot 1400sqm

Bei 300m

Nyumba ni ya tatu kutoka barabara ya lami kunduchi ununio

Kwa maongezi zaidi na kuja kuona wasiliana nami kwa

0756060183

 
Hapoo napata nyumba nne na plot zake
Kweli kabisa ila inategemea kiwanja kiko wapi!

Hiyo iko bahari beach ambako be ya Ardhi ya serikali ni 150,000/ @ sqm 1


150,000*1400= ?
+thamani ya nyumba=

Jumla......

Kama una calculator hapo naomba unisaidie.


Hiyo ni bei ya serkal na siyo ya mtu binafsi
 
Kila la heri kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…