House4Sale Nyumba inauzwa Bahari Beach

House4Sale Nyumba inauzwa Bahari Beach

Kweli kabisa ila inategemea kiwanja kiko wapi!

Hiyo iko bahari beach ambako be ya Ardhi ya serikali ni 150,000/ @ sqm 1

150,000*1400= ?
+thamani ya nyumba=

Jumla......

Kama una calculator hapo naomba unisaidie.

Hiyo ni bei ya serkal na siyo ya mtu binafsi

15000*1400=21,000,000.00 Hii ni bei ya kiwanja, hivyo 300,000,000-21,000,000=279,000,000 DUUH! BEI YA NYUMBA NI 279M....! SHIKAMOO
 
Hiyo m 300.unapata nyumba 3 kali sana maeneo ya tabata.kinyerezi.tsegerea.egeta.bunju

Halafu zingine ni sifa.eti nakaa mbezi beach halfu kinyumba chenyewe cha hovyohovyo ina saidia nini sasa.sifa za kijinga tu.

Nakushauri shusha bei kama unatka kufanya biashara
 
Mkuu kwa maoni yako haya hata kama ningeshusha bei wewe huwezi kununua me nakushauri endelea kutafuta hayo maeneo uliyoyataja, thamani ya maeneo hutofautiana sana
 
Mbona picha zenyewe umezipiga kwa mbali sana mkuu?? Kama vile wewe ni mpita njia tuu?
Ulitakiwa upige picha za karibu zaidi, na za kutosha nje na ndani if you really mean business!!
dovillenproperty
Sawa mkuu sema hili ni tangazo tu huwezi kujaza picha zaidi, maana kwa kufanya hivyo tangazo litakosa ubora ila kama utakuwa unahitaji zaidi picha inabidi unichk kwenye hiyo no ya cm nitakutumia whatspp,
 
Acha kutengeneza matangazo kama ya virabu vya gongo, weka picha kamili ya nyumba, onesha mandhari tofauti ya nje na ndani. Clarify vzr other issues. Wateja huenda c wa hapa ila wakasaidia kusambaza ujumbe.

Kama ni biashara halali haihitaji kujificha kama digidigi aliyeona chui!!
 
Sawa mkuu, tunajifunza kutokana na makosa..siku nyingine tutafanya hivyo
 
Hizi picha mbona zimepigwa kiwiziwizi? Kuna mashaka kwenye uuzaji?
 
Back
Top Bottom