nkasoukumu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 894
- 412
Ni beach plot hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umewaza kama mim mkuuiyo picha mbona umepiga ki wizi wizi kunatatizo??
Sawa kila mtu na mipango yake maana bahari beach sio kulasini wala cjui wapi uko kwingine ulikotaja!Kurasini kiwanja 60m.
Gharama za kujenga nyumba ya maana classic 150m jumla 210m. Baki 90m unanunua kiwanja kikubwaaaaaaaaaaa chamazi near azam kwa 10m. Unajenga nyumba nzuriii 60m jumla 70 baki 20m. Unanunua kiwanja kidogo near road at chamazi.5m unajenga frem za biashara tano kwa 10m. Baki 5m nunua kiwanja kidogo ndani ndani kwa 2m chimba kisima cha maji kwa 2m uzia wananchi baki 1m. Kanywe biaaaaaaaaaaaaaa na kula bata mwezi mzima.
Hyo ndo bajeti ya 300m bro. Mwaka utakatika haujauza hyo plot labda utudanganye.
Mkuu inategemea na eneo pia kwani maeneo haya hiyo ni bei ya plot kwahyo ni jambo la kawaida tuBasi nilipofungua huu uzi nikategemea nikutane na bonge la ghorofa! Hii bei si napata Youtong tatu?
Kuwaza ni Ni jambo linaloleta afya ya akili ,kwahyo mkuu ushauri wangu endelea kuwazaumewaza kama mim mkuu
HapanaNi beach plot hapo
Kama unahitaji Kiwanja Dodoma ni Pm.mk
mkuu kama uko Dodoma nitafutie kiwanja pls
Mkuu nikiwa na 60M siwezi pata sqm 1200 Kunduchi ya Baharini? siyo Kunduchi ya Uswazi Lakini...Ndio ivyo mkuu maisha tonatofautiana sana
Hehhe kuna shida mahali sio bure, wanunuzi waende vzuri!iyo picha mbona umepiga ki wizi wizi kunatatizo??
Hakunashida yoyote mkuu wala usigope, uuzwaji wa nyumba au plot yenye hati una hatua zake za kufuata kabla mnunuzi hajalipia, 1. Kuja kukagua nyumba pamoja na eneo linaloizunguukaHehhe kuna shida mahali sio bure, wanunuzi waende vzuri!
Ushauri mzuriHamieni Dodoma.mtabaki mkisemi Mko karibu na bahari mtabaki nazo.na mtabaki mkidaiwa Madeni ya benk.walioko tanga na mtwara hawako karibu na bahari?milioni 300? Mabalozi wetu wanahamia Dodoma .mtabaki na upepo Wa bahari. Dar muda mfupi ujao itakuwa Mombasa na Dodoma utakuwa Nairobi. Someni ramani na wakati.mchana mwema
Hapa nakumbuka nilitoa elimu kama slow slow na kipindi chake cha shule ya uongoziHakunashida yoyote mkuu wala usigope, uuzwaji wa nyumba au plot yenye hati una hatua zake za kufuata kabla mnunuzi hajalipia, 1. Kuja kukagua nyumba pamoja na eneo linaloizunguuka
2 kukubariana bei ya kuuziana
3 kuhakiki nyaraka wizarani
4 kuhakiki kama anayekuuzia ndiye mwenye nyaraka za umiliki wa nyumba nk
A.kitambulisho/vitambulisho
B majirani
C.mjumbe/balozi
D.Serkal za mitaa/mwenyekiti
5 Kuandaa mkataba wa mauzioano kwa mwanasheria tena hasa hasa inashauriwa mwanasheria awe wa mnunuzi
Hizo ni hatua ambazo ni muhimu kuzifanya kwa mnunuzi yoyote yule...
Sasa ndg yangu hapo utapeli au kupoteza kutatokea wapi kama sio tu kutia mashaka yasiyo na maana?
Acha na mimi nikusaidie kupandisha tangazo lako, unapofanya marketing ya biashara yako sikiliza sana unaowatangazia wanahitaji nini... Maana wao wanahitaji huduma huku wewe ukihitaji pesa yao and by the way, mwenye pesa ndyo mwenye nguvu pia ujue dalali hauko peke yako competentHapa nakumbuka nilitoa elimu kama slow slow na kipindi chake cha shule ya uongozi
Kweli kabisa mkuu na huu ushauri niliuzingatia kwenye matangazo mengine.hii tumeshaiuza mda tu ndio maana sikulejea tena kwenye uzi huuAcha na mimi nikusaidie kupandisha tangazo lako, unapofanya marketing ya biashara yako sikiliza sana unaowatangazia wanahitaji nini... Maana wao wanahitaji huduma huku wewe ukihitaji pesa yao and by the way, mwenye pesa ndyo mwenye nguvu pia ujue dalali hauko peke yako competent
Wewe umeambiwa zaidi ya mara tatu na member tofauti tofauti juu ya ubovu wa picha zako kwenye hii nyumba lakini umeshupaza shingo na ukajibu kwa namna ulivyojiskia wewe ati you will do that next time...
Picha zimekaa kiwizi wizi kitu ambacho kinaleta mashaka ya awali kama kweli uko authorised kuuza hiyo nyumba, hizo ambazo unasema utatuna whatsap nina hakika hata hapa unaweza zituma, sijui umekwama wapi mkuu.