Kijana Mpole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 235
- 212
Mkuu picha ni mwanzo mhitaji unapaona maana hata upige picha full kama huna uhitaji haina maana nduguUmejaza mapicha yasio na maana badala upige picha nyumba unaipiga picha baraza na chumba alafu unasema unauza nyumba. Kuwa serious
Duuuh20m cash tukutane NBC Mbezi beach
Kwasababu baraza imewekwa make-up ya kijani.Umejaza mapicha yasio na maana badala upige picha nyumba unaipiga picha baraza na chumba alafu unasema unauza nyumba. Kuwa serious
Wewe usiangalie rangi, kama una 58m kiwanja Goba deal. Kama huko tayari sasa hivi unaweka wapangaji. Ukiwa tayari unajenga test yako.Mbona rangi ya CCM, atakosa wateja huyu
Abadilishe rangi kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe usiangalie rangi, kama una 58m kiwanja Goba deal. Kama huko tayari sasa hivi unaweka wapangaji. Ukiwa tayari unajenga test yako.
Rangi yenyewe iko reception tu naona alinunua kopo moja la kuuzia sura.Abadilishe rangi kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Umekuja kuiona nduguhakuna nyumba ya Mil 58 hapo
Karibu uone ndugu25M chap kesho nakuja
Asante mkuu karibu sana nawe au kwa mwenye uhitajiWewe usiangalie rangi, kama una 58m kiwanja Goba deal. Kama huko tayari sasa hivi unaweka wapangaji. Ukiwa tayari unajenga test yako.
Rangi inabadilishwa na hakuna rangi ya ccm na yanga watasemaje?Mbona rangi ya CCM, atakosa wateja huyu