House4Sale Nyumba inauzwa Goba jirani kabisa na barabara

House4Sale Nyumba inauzwa Goba jirani kabisa na barabara

Kijana Mpole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
235
Reaction score
212
Habari nyumba hii inauzwa ipo barabarani kabisa Goba million 58 tu karibu ujionee tupigie 0763542515

Ina vyumba vitatu na sebule umeme na maji vipo pia ina by quarter kwa nje kama una vijana vyumba vya nje viwili na choo vipo

Sehemu iliyobaki kubwa karibu ujionee hapa Goba au kwa Ulomi.

Mita 40 kutoka barabarani

IMG_20210118_170158.jpeg
IMG_20210118_170151.jpeg
IMG_20210118_170142.jpeg
IMG_20210118_165853.jpeg
IMG_20210118_170358.jpeg
IMG_20210118_170024.jpeg
IMG_20210118_165956.jpeg
IMG_20210118_170455.jpeg
IMG_20210118_165858.jpeg
 
Umejaza mapicha yasio na maana badala upige picha nyumba unaipiga picha baraza na chumba alafu unasema unauza nyumba. Kuwa serious
Mkuu picha ni mwanzo mhitaji unapaona maana hata upige picha full kama huna uhitaji haina maana ndugu
 
Back
Top Bottom