Heri wewe umeona hadi picha, mimi naona maandishi tuMh! Hizi picha mbona zinonyesha hiyo nyumba ndogo kwa hiyo bei
Mkuu sijaweka picha yoyote kwa ambae anahitaji tuwasiliane whatsapp kwa number hizo hapo juu,nitamtumia picha lakini ingekuwa vyema kama atakuja mwenyewe kuiona.Nzuri sana
BTW hapo kwenye nguzo mbona kama kuna nyufa?
Mkuu acha kupotosha watu hapo sijaweka picha yoyote,kwa aliye serious tuwasiliane nifanye mpango wa kumtumia piacha au aje mwenyewe kuiona vizuri.Mh! Hizi picha mbona zinaonyesha hiyo nyumba ni ndogo kwa hiyo bei
Mkuu kwa bahati mbaya sijaweka picha ila aliye serious anicheki whatsapp number 0673269820 nifanye mpango wa kumtumia picha au aje aangalie nyumba mwenyewe vizuri.Heri wewe umeona hadi picha, mimi naona maandishi tu
maana yake weka picha acha uboya unaficha nini,uwe unajiongeza sio unajibu kila comment ya kukukumbusha kwamba kuna jambo haliko sawa kwenye uzi wako.Acheni kuzingua bana!
Comments hahahahhahaa
sana yan nimecheka sana nimehaha kutafta picha kumbe hazipoWatu wabaya...
sana yan nimecheka sana nimehaha kutafta picha kumbe hazipo
nimekufuata??? HapanaUmenifuata huku,mwanamke mbaya wwe!
Sema jamaa naye anazingua, nadhani ni nyumba ambayo hawataki watu wajue kama iko inauzwa.
Ndo maana anakomaa watu wakaione.