House4Sale Nyumba inauzwa ipo karibu na barabara (Ukonga, Banana)

House4Sale Nyumba inauzwa ipo karibu na barabara (Ukonga, Banana)

kaka9

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
280
Reaction score
113
Habari wakuu!

Kuna nyumba inauzwa maeneo ya ukonga-banana ina vyumba vinne,sebule,sehemu ya kulia chakula, store na sehemu ya parking ya gari,na bado kuna eneo kubwa la kujenga nyumba nyingine na fremu za biashara, eneo la uwanja lote la nyumba kwa ijumla ni square meter 1,300.

Bei ni Tsh.200Mil.

Kwa mawasiliano zaidi nicheki 0673269820.
 
Mh! Hizi picha mbona zinaonyesha hiyo nyumba ni ndogo kwa hiyo bei
 
Nzuri sana

BTW hapo kwenye nguzo mbona kama kuna nyufa?
Mkuu sijaweka picha yoyote kwa ambae anahitaji tuwasiliane whatsapp kwa number hizo hapo juu,nitamtumia picha lakini ingekuwa vyema kama atakuja mwenyewe kuiona.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Mh! Hizi picha mbona zinaonyesha hiyo nyumba ni ndogo kwa hiyo bei
Mkuu acha kupotosha watu hapo sijaweka picha yoyote,kwa aliye serious tuwasiliane nifanye mpango wa kumtumia piacha au aje mwenyewe kuiona vizuri.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Muwahi mbunge kabla hazijaisha!!

By the way nyumba ipo lokeshen nzuri.
Kila la kheri mkuu.
 
Heri wewe umeona hadi picha, mimi naona maandishi tu
Mkuu kwa bahati mbaya sijaweka picha ila aliye serious anicheki whatsapp number 0673269820 nifanye mpango wa kumtumia picha au aje aangalie nyumba mwenyewe vizuri.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Hii nyumba ina vioo vizuri sana vya alluminium...na mabati safi kabisa ya ALAF
 
mbona paa lake limelala sana halafu hiyo rangi nimeipenda sana.
 
Acheni kuzingua bana!
maana yake weka picha acha uboya unaficha nini,uwe unajiongeza sio unajibu kila comment ya kukukumbusha kwamba kuna jambo haliko sawa kwenye uzi wako.
halafu nilisikia ule mradi mpya wa mwendo kasi kwenda gongo la mboto unakaribia ila sina uhakika sana
 
hiyo nyumba mbona imewekwa maru maru za bei ghali sana ? fundi wa hilo geti ni nani?? mbona la kisasa sana
 
Back
Top Bottom