Nyumba inauzwa, ipo Kiluvya Madukani. Bei milioni 110, maongezi yapo

Nyumba inauzwa, ipo Kiluvya Madukani. Bei milioni 110, maongezi yapo

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
435
Reaction score
733
Nyumba inauzwa. Ipo Kiluvya Madukani. Eneo lake 60x20. Nyumba ina vyumba 2 vya kulala na master 1. Ina sebule kubwa. Jiko, stoo na choo cha jumuiya. Parking ya kutosha. Kwa nyuma kuna nyumba ndogo, ina vyumba viwili na choo. Mambo yote ni ndani ya fensi ya matofali.


Bei: Tsh.110, mazungumzo yapo.
Umiliki: Hatimiliki ipo.
Mawasiliano: 0655 520770.
 
Back
Top Bottom