Nyumba inauzwa, ipo Kiluvya Madukani makabe. Bei milioni 110, maongezi yapo

Nyumba inauzwa, ipo Kiluvya Madukani makabe. Bei milioni 110, maongezi yapo

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
435
Reaction score
733
Nyumba inauzwa. Ipo Kiluvya Madukani. Eneo lake 60x20. Nyumba ina vyumba 2 vya kulala na master 1. Ina sebule kubwa. Jiko, stoo na choo cha jumuiya. Parking ya kutosha. Kwa nyuma kuna nyumba ndogo, ina vyumba viwili na choo. Mambo yote ni ndani ya fensi ya matofali.


Bei: Tsh.110, mazungumzo yapo.
Umiliki: Hatimiliki ipo.
Mawasiliano: 0655 520770.
 
Nyumba kali sana hii mkuu ongeza hata mil 10 happ mbele utauza chap tuu picha umepost za kutosha.
 
Kwa kizazi hiki cha picha bila picha ni kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom