NYUMBA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH,BEI NI BILLION 2,MAONGEZI YAPO, SIMU 0758844717

NYUMBA INAUZWA,IPO KUNDUCHI BEACH,BEI NI BILLION 2,MAONGEZI YAPO, SIMU 0758844717

Dalali_wa_kimataifa

Senior Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
182
Reaction score
176
GHOROFA YA KIFAHARI SANA HII
INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH

ROOMS 6
ZOTE MASTER

SEBULE KUBWA
JIKO,STOO
DINING, PUBLIC TOILET

PLOT SIZE SQM 1720
INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
 
Attachments

  • dalalismart_tegeta_madale-20250421-0001.mp4
    21 MB
  • IMG-20250420-WA0216.jpg
    IMG-20250420-WA0216.jpg
    66.5 KB · Views: 32
  • IMG-20250420-WA0219.jpg
    IMG-20250420-WA0219.jpg
    64.3 KB · Views: 35
  • IMG-20250420-WA0218.jpg
    IMG-20250420-WA0218.jpg
    50.3 KB · Views: 34
  • IMG-20250420-WA0217.jpg
    IMG-20250420-WA0217.jpg
    67.6 KB · Views: 41
  • IMG-20250420-WA0210.jpg
    IMG-20250420-WA0210.jpg
    56.7 KB · Views: 35
  • IMG-20250420-WA0212.jpg
    IMG-20250420-WA0212.jpg
    76.4 KB · Views: 33
  • IMG-20250420-WA0211.jpg
    IMG-20250420-WA0211.jpg
    50.6 KB · Views: 34
  • IMG-20250420-WA0215.jpg
    IMG-20250420-WA0215.jpg
    86.6 KB · Views: 33
  • IMG-20250420-WA0213.jpg
    IMG-20250420-WA0213.jpg
    88.5 KB · Views: 35
  • IMG-20250420-WA0214.jpg
    IMG-20250420-WA0214.jpg
    108.1 KB · Views: 36
Kwa nini inauzwa kwa bilioni mbili?

Hizi bei watu huwa wanazifikiaje? Mtu anaamka tu na kutaja namba….hii ni bilioni mbili na nusu…..and that’s it?

Bei za nyumba za Tanzaniq huwa ziko juu sana ukilinganisha na property zenyewe…
 
Tatizo madalali ndio wanajipangia bei wenyewe
 
Heri ya Pasaka mkuu ndugu yangu.

Kuna watu hawajui bilioni mbili ni bajeti ya wilaya....
 
Mwa
GHOROFA YA KIFAHARI SANA HII
INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH

ROOMS 6
ZOTE MASTER

SEBULE KUBWA
JIKO,STOO
DINING, PUBLIC TOILET

PLOT SIZE SQM 1720
INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Dalali kanjanja hili jukwaa ni NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Hii nyumba mllioni 600 au 800 sinajenga
 
Tatizo madalali ndio wanajipangia bei wenyewe
Hawa watu ni nuksi kwenye kila kitu Tanzania. Dalali wa nyumba au kiwanja wa Tanzania anataka akiuza nyumba au kiwanja kimoja ajenge nyumba yake. Halafu hakuna kitu kinachoogopesha kama mtu anakumbia nyumba inauzwa sh bilioni mbili halafu anaongeza ''na mazungumzo yapo''. Hii inaonyesha kabisa kuna ujanja ujanja kwenye hiyo bei. Kawaida, nchi nyingi, bei ya nyumba huwa fixed. Ukiambiwa ni ni dola laki tano haina eti mazungumzo. Labda discount inaweza kuwa kama unalipa kwa mkupuo, kunakuwa na punguzo na kila kitu kinawekwa wazi kwenye tangazo. Hii nyumba anayotangaza hapa nimeshaiona kwenye instagram pages za madalali wawili au watatu tofauti. Ukiona hivyo ujue kuna cha juu tena fedha ndefu.
 
Back
Top Bottom