macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Pengine watakuambia location lakini bado tu ni ghali. Kwanza nyumba imejengwa kishamba sana halafu kwa nje hakuna bustani na mandhari nzuri.Hii nyumba mllioni 600 au 800 sinajenga

Ukipata ya magobore itakuwa vizuri zaidi.Billion 2 ya noti au?