Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
Ukisoma tangazo alafu ukaliacha kama halikuhusu unapungukiwa nini?Hii sio sehemu yake.
Ama hujui udalali au umetumwa kuvuruga mijadala mhimu inayoendelea.
200m ipo cashGHOROFA YA KIFAHARI SANA HII
INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH
ROOMS 6
ZOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO,STOO
DINING, PUBLIC TOILET
PLOT SIZE SQM 1720
INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Bilioni 2 najenga tano kama hii. Ila kila la kheri mkuu ndugu yangu....GHOROFA YA KIFAHARI SANA HII
INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH
ROOMS 6
ZOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO,STOO
DINING, PUBLIC TOILET
PLOT SIZE SQM 1720
INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Tatizo madalali ndio wanajipangia bei wenyeweKwa nini inauzwa kwa bilioni mbili?
Hizi bei watu huwa wanazifikiaje? Mtu anaamka tu na kutaja namba….hii ni bilioni mbili na nusu…..and that’s it?
Bei za nyumba za Tanzaniq huwa ziko juu sana ukilinganisha na property zenyewe…
Yeah labda kama ni hivyo maana hizo bei……watu wanalanguliwa sana!Tatizo madalali ndio wanajipangia bei wenyewe
Hapo kuna 200M za dalali ah a haha a bongoGHOROFA YA KIFAHARI SANA HII
INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH
ROOMS 6
ZOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO,STOO
DINING, PUBLIC TOILET
PLOT SIZE SQM 1720
INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Heri ya Pasaka mkuu ndugu yangu.Kwa nini inauzwa kwa bilioni mbili?
Hizi bei watu huwa wanazifikiaje? Mtu anaamka tu na kutaja namba….hii ni bilioni mbili na nusu…..and that’s it?
Bei za nyumba za Tanzaniq huwa ziko juu sana ukilinganisha na property zenyewe…
Dalali kanjanja hili jukwaa ni NO REFORMS, NO ELECTION.GHOROFA YA KIFAHARI SANA HII
INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH
ROOMS 6
ZOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO,STOO
DINING, PUBLIC TOILET
PLOT SIZE SQM 1720
INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Pasaka njema kwako pia Komredi!Heri ya Pasaka mkuu ndugu yangu.
Kuna watu hawajui bilioni mbili ni bajeti ya wilaya....
Na hapo bado umebakisha bakshishi ya mamilioni ya kunywa makonyagi na manyama choma. Watu wengi hawajui nini maana ya BILIONI.Pasaka njema kwako pia Komredi!
Huku kwetu Simiyu hiyo bilioni 2 nashusha mijengo 10 na kubakiza milioni kadhaa 😀.
Bora ununue upanga au krkoo vipo viwanja vya bilioni 2.Nyumba ina kipi cha Bilioni 2 Haina uwanja mkubwa, bustani, Bwawa na parking?Billion mbili ya Zimbabwe au?
Hawa watu ni nuksi kwenye kila kitu Tanzania. Dalali wa nyumba au kiwanja wa Tanzania anataka akiuza nyumba au kiwanja kimoja ajenge nyumba yake. Halafu hakuna kitu kinachoogopesha kama mtu anakumbia nyumba inauzwa sh bilioni mbili halafu anaongeza ''na mazungumzo yapo''. Hii inaonyesha kabisa kuna ujanja ujanja kwenye hiyo bei. Kawaida, nchi nyingi, bei ya nyumba huwa fixed. Ukiambiwa ni ni dola laki tano haina eti mazungumzo. Labda discount inaweza kuwa kama unalipa kwa mkupuo, kunakuwa na punguzo na kila kitu kinawekwa wazi kwenye tangazo. Hii nyumba anayotangaza hapa nimeshaiona kwenye instagram pages za madalali wawili au watatu tofauti. Ukiona hivyo ujue kuna cha juu tena fedha ndefu.Tatizo madalali ndio wanajipangia bei wenyewe