Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We we kama darari mzoefu hivi ni halali kweli kuuzwa milioni 300?[emoji23] Kuleta biashara JF Inabidi uwe Uvumilivu +, hata ungeweka Mil 50 Wangekuja wa kukukebehi kuwa ww ni tapeli, umekuja kuwapiga watu
Uzi Wangu Wa Udalali Wa Nyumba Nakutana sana Na watu wa Aina Hiyo
So Inabidi Uwe Mpole Mzee Maana % kubwa Wanaokoment Sio Wanunuzi [emoji23]
Kwa mimi ambaye nimeona nyumba kali zilizokamilika na tayari kwa kuingiaWe we kama darari mzoefu hivi ni halali kweli kuuzwa milioni 300?
Good ans mzee dalali...Kwa soko la mtandao Kwa mimi ambaye nimeona nyumba kali zilizokamilika na tayari kwa kuingia
Zinauzwa Bei chini ya hiyo, tena ukanda huohuo, ntambishia
Huenda Jamaa ana sababu zake, tatizo soko linambana
kirahisi rahisi tuAnajiandikia tu milioni 300 .
Kwa wakati wa Sasa hakuna mtu atakubali kutoa milioni 300 kununua kitu kisichokamilika.Anajiandikia tu milioni 300 .
Kwa wakati wa Sasa hakuna mtu atakubali kutoa milioni 300 kununua kitu kisichokamilika.
Wakati milioni 300 unapata gorofa iliyokamilika na fensi maeneo ya mbweni na ununio au kawe beach.
Mbona nyingi sana nakutana nazo mtandaoni kila sikuSidhani kama hayo maeneo kweli unaweza kupata ghorofa kwa bei hiyo lambda pagare
Fafanua vizuri hapa mkuu.Kiufupi hilo kjengo lako lana structure failure usili hesabu kwenye mauzo sana sana inabidi upunguze na ya demolition + site clearance
Fafanua vizuri hapa mkuu.