House4Sale Nyumba inauzwa ipo Makongo

House4Sale Nyumba inauzwa ipo Makongo

Halali ya soko hapo ni mil 80 bei ya soko hilo pagale hizo 300 unasema njoo nazo nikununulie apartment 2 zilizokamilika upanga hapo ndio utajua umeongia mkenge na bei yako hiyo ya ajabu
 
[emoji23] Kuleta biashara JF Inabidi uwe Uvumilivu +, hata ungeweka Mil 50 Wangekuja wa kukukebehi kuwa ww ni tapeli, umekuja kuwapiga watu
Uzi Wangu Wa Udalali Wa Nyumba Nakutana sana Na watu wa Aina Hiyo
So Inabidi Uwe Mpole Mzee Maana % kubwa Wanaokoment Sio Wanunuzi [emoji23]
We we kama darari mzoefu hivi ni halali kweli kuuzwa milioni 300?
 
Kwa soko la mtandao Kwa mimi ambaye nimeona nyumba kali zilizokamilika na tayari kwa kuingia
Zinauzwa Bei chini ya hiyo, tena ukanda huohuo, ntambishia
Huenda Jamaa ana sababu zake, tatizo soko linambana
Good ans mzee dalali...
Huyu jamaa anauza gofu et milioni 300 yani hapo hata 50 ni ngumu sana badoo
 
Mkuu tuwasiliane fasta natafuta kitu kama hichi

Nitumie picha zake zaidi 0756060183
 
Anajiandikia tu milioni 300 .
Kwa wakati wa Sasa hakuna mtu atakubali kutoa milioni 300 kununua kitu kisichokamilika.
Wakati milioni 300 unapata gorofa iliyokamilika na fensi maeneo ya mbweni na ununio au kawe beach.
 
Sidhani kama hayo maeneo kweli unaweza kupata ghorofa kwa bei hiyo lambda pagare
Kwa wakati wa Sasa hakuna mtu atakubali kutoa milioni 300 kununua kitu kisichokamilika.
Wakati milioni 300 unapata gorofa iliyokamilika na fensi maeneo ya mbweni na ununio au kawe beach.
 
300M ni pesa nyingi sana kutokana na hali ya uchumi kwa sasa

Tuanze kujiuliza wadau kwa Estimation tu
1. Kiwanja cha 2100sqm makongo juu, market value yake inaweza kua kiasi gani kwa sasa?

2. Na hyo ghorofa isiyomalizika, inaweza kua kiasi gani kwa estimation za saaa

3. tuweke na 50% as margin profit

Tuje tuone kama inaweza fikia hyo 300M
 
Kiufupi hilo kjengo lako lina structure failure usili hesabu kwenye mauzo sana sana inabidi upunguze na ya demolition + site clearance
 
Fafanua vizuri hapa mkuu.

Structural failure kwa kuliangalia hilo jengo tuu nnaona halina uwezo wa kuhimili structural load bila kuja kuvunjika hapo baadae, nadhani anauza kukimbia hasara hapo fundi maiko kahusika..siwezi kwenda in detail watu huwa wanalipa tukitoa ushauri wa kihandisi
 
Back
Top Bottom