House4Sale Nyumba inauzwa ipo Sinza A karibu na apartment za Delina .

acheni tamaa ndugu zangu, miezi kadhaa imepita nimemsainia mtu mkataba kanunua nyumba sinza mori kwa 60m. nyumba ya kizamani kama hiyo. Sasa hiyo ndiyo nyumba ya kuuza 190m?
Biashara ni huria Kaka,

Ukiona bei huifikii waachie wengine.
 
Kweli unamaanisha kuwa una life ngumu? Kama hautojali nitakulimia heka 10 za ufuta gharama zote ni juu yangu ila kazi yako wewe ni kukaa huko shambani na kupalilia ufuta mpaka siku ya kuvuna
Pia nipo tayari kufanya hiyo kazi ya kilimo cha ufuta ndugu, hali yangu kiuchumi ni ngumu sana, nina hali kubwa ya kupambana lakini mtaji umekua tatizo sana kwangu.
 
acheni tamaa ndugu zangu, miezi kadhaa imepita nimemsainia mtu mkataba kanunua nyumba sinza mori kwa 60m. nyumba ya kizamani kama hiyo. Sasa hiyo ndiyo nyumba ya kuuza 190m?
Yaani mtu ananunua sqm hizo kwa bei kubwa namna hiyo kwa eneo la sinza? Hapo baada ya kujenga upangishe milioni? Mpaka urudishe ni miaka mingi sana. 190m + hela ya kubomoa na kujenga ni hatari
 
Hilo eneo nimesikia ni sold out limeshanunuliwa

Wewe ukiwa masikini hauwezi kujua potential areas
 
acheni tamaa ndugu zangu, miezi kadhaa imepita nimemsainia mtu mkataba kanunua nyumba sinza mori kwa 60m. nyumba ya kizamani kama hiyo. Sasa hiyo ndiyo nyumba ya kuuza 190m?
Labda aliuzia shida na huyu anauza kwa starehe
 
Back
Top Bottom