Apollo tyres
Senior Member
- Nov 16, 2024
- 109
- 286
- Thread starter
-
- #21
acheni tamaa ndugu zangu, miezi kadhaa imepita nimemsainia mtu mkataba kanunua nyumba sinza mori kwa 60m. nyumba ya kizamani kama hiyo. Sasa hiyo ndiyo nyumba ya kuuza 190m?
Biashara ni huria Kaka,acheni tamaa ndugu zangu, miezi kadhaa imepita nimemsainia mtu mkataba kanunua nyumba sinza mori kwa 60m. nyumba ya kizamani kama hiyo. Sasa hiyo ndiyo nyumba ya kuuza 190m?
Absolute- this is potential area ukitoka ndani upo mliman city .Biashara ni huria Kaka,
Ukiona bei huifikii waachie wengine.
Pia nipo tayari kufanya hiyo kazi ya kilimo cha ufuta ndugu, hali yangu kiuchumi ni ngumu sana, nina hali kubwa ya kupambana lakini mtaji umekua tatizo sana kwangu.Kweli unamaanisha kuwa una life ngumu? Kama hautojali nitakulimia heka 10 za ufuta gharama zote ni juu yangu ila kazi yako wewe ni kukaa huko shambani na kupalilia ufuta mpaka siku ya kuvuna
Yaani mtu ananunua sqm hizo kwa bei kubwa namna hiyo kwa eneo la sinza? Hapo baada ya kujenga upangishe milioni? Mpaka urudishe ni miaka mingi sana. 190m + hela ya kubomoa na kujenga ni hatariacheni tamaa ndugu zangu, miezi kadhaa imepita nimemsainia mtu mkataba kanunua nyumba sinza mori kwa 60m. nyumba ya kizamani kama hiyo. Sasa hiyo ndiyo nyumba ya kuuza 190m?
Hilo eneo nimesikia ni sold out limeshanunuliwaYaani mtu ananunua sqm hizo kwa bei kubwa namna hiyo kwa eneo la sinza? Hapo baada ya kujenga upangishe milioni? Mpaka urudishe ni miaka mingi sana. 190m + hela ya kubomoa na kujenga ni hatari
Sinza hakuna eneo potential tusidanganyane. Ni eneo la kawaida tuHilo eneo nimesikia ni sold out limeshanunuliwa
Wewe ukiwa masikini hauwezi kujua potential areas
SawaSinza hakuna eneo potential tusidanganyane. Ni eneo la kawaida tu
Niko tiari ndugu yangu ni pm kaka mimi niko tayali kabisaKweli unamaanisha kuwa una life ngumu? Kama hautojali nitakulimia heka 10 za ufuta gharama zote ni juu yangu ila kazi yako wewe ni kukaa huko shambani na kupalilia ufuta mpaka siku ya kuvuna
MWENYEZI MUNGU akukumbuke nduguPia nipo tayari kufanya hiyo kazi ya kilimo cha ufuta ndugu, hali yangu kiuchumi ni ngumu sana, nina hali kubwa ya kupambana lakini mtaji umekua tatizo sana kwangu.
Labda aliuzia shida na huyu anauza kwa stareheacheni tamaa ndugu zangu, miezi kadhaa imepita nimemsainia mtu mkataba kanunua nyumba sinza mori kwa 60m. nyumba ya kizamani kama hiyo. Sasa hiyo ndiyo nyumba ya kuuza 190m?