Thom Munkondya
Member
- Feb 8, 2019
- 94
- 124
Kiongozi hili eneo la nyumba halijai maji wakati wa mvua?NYUMBA INAUZWA.
MAELEZO
Ni nyumba mbili ndani ya compound moja
Moja ina vyumba vitatu na nyingine vyumba viwili.
Pia zina:
-sitting
-dining
-public toilet
UKUBWA
sqm400
DOCUMENTS
Leseni ya makazi
LOCATION
Tabata relini (Kituoni pale pale barabarani)
BEI
Tsh milion 90.
(Mazungumzo yapo). MAWASILIANO
Calls &whatsapp
0673540985
0765532858
Au fika ofisini Lufungira, Mwenge katika jengo la SAVEI PLAZA groundfloor.
View attachment 1420471View attachment 1420472View attachment 1420473View attachment 1420474
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za nyumba mbona haujaweka ?NYUMBA INAUZWA.
MAELEZO
Ni nyumba mbili ndani ya compound moja
Moja ina vyumba vitatu na nyingine vyumba viwili.
Pia zina:
-sitting
-dining
-public toilet
UKUBWA
sqm400
DOCUMENTS
Leseni ya makazi
LOCATION
Tabata relini (Kituoni pale pale barabarani)
BEI
Tsh milion 90.
(Mazungumzo yapo). MAWASILIANO
Calls &whatsapp
0673540985
0765532858
Au fika ofisini Lufungira, Mwenge katika jengo la SAVEI PLAZA groundfloor.
View attachment 1420471View attachment 1420472View attachment 1420473View attachment 1420474
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo eneo kwa maji balaa, mvua ikipga ndio utajua mziki wake.Kiongozi hili eneo la nyumba halijai maji wakati wa mvua?
Iko eneo zuri sana ila nimeuliza hivyo kwa sababu moja nimeona hiyo nyumba imechanika
Kilichonistua ni kuona utando wa green kwenye hizo nyumba sijui mnaita fungus i don't know na nyumba imechanika ikazibwa.Hilo eneo kwa maji balaa, mvua ikipga ndio utajua mziki wake.
Hizo nyunba ziliwahi kujaa maji hadi madirishani. Buyer beware!Kiongozi hili eneo la nyumba halijai maji wakati wa mvua?
Iko eneo zuri sana ila nimeuliza hivyo kwa sababu moja nimeona hiyo nyumba imechanika
Ukiachia kuhusu reli pia mnunuzi anatakiwa ajiridhishe na upana wa barabara.Wewe muuzaji wa Hizi nyumba uwe na huruma, Hizo nyumba zinajaa maji balaaa, lkn kitu kingine mnunuzi ajiridhishe na RAC yaani SHIRIKA la Reli isije kuwa zina X ya kupisha eneo la SGR.
Karibuni Tabata kwenye bata
Pale ni kama pale jangwani full maji.Nilitaka kununua ila hao wachangiaji hapo juu wamenikatisha tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa! labda anaogopa reli itaonekana.
acha mazarau jombaaSasa ndugu si ungeandika MAPAGALA yanauzwa ukaeleweka,,,,
huo ujasiri wa kuandika NYUMBA umeutoa wapi?.
Ipo siku utauza hata hizi ukidai ni nymba...shame to youView attachment 1420733View attachment 1420735
Sent using Jamii Forums mobile app