House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Tabata Relini barabarani. Bei nafuu kabisa

House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Tabata Relini barabarani. Bei nafuu kabisa

Joined
Feb 8, 2019
Posts
94
Reaction score
124
NYUMBA INAUZWA.

MAELEZO
Ni nyumba mbili ndani ya compound moja
Moja ina vyumba vitatu na nyingine vyumba viwili.
Pia zina:
-sitting
-dining
-public toilet

UKUBWA
sqm400

DOCUMENTS
Leseni ya makazi

LOCATION
Tabata relini (Kituoni pale pale barabarani)

BEI
Tsh milion 90.
(Mazungumzo yapo). MAWASILIANO
Calls &whatsapp
0673540985
0765532858
Au fika ofisini Lufungira, Mwenge katika jengo la SAVEI PLAZA groundfloor.
IMG_20200415_194033_732.jpg
IMG_20200415_194033_704.jpg
IMG_20200415_194033_708.jpg
IMG_20200415_194033_817.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYUMBA INAUZWA.

MAELEZO
Ni nyumba mbili ndani ya compound moja
Moja ina vyumba vitatu na nyingine vyumba viwili.
Pia zina:
-sitting
-dining
-public toilet

UKUBWA
sqm400

DOCUMENTS
Leseni ya makazi

LOCATION
Tabata relini (Kituoni pale pale barabarani)

BEI
Tsh milion 90.
(Mazungumzo yapo). MAWASILIANO
Calls &whatsapp
0673540985
0765532858
Au fika ofisini Lufungira, Mwenge katika jengo la SAVEI PLAZA groundfloor.
View attachment 1420471View attachment 1420472View attachment 1420473View attachment 1420474

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi hili eneo la nyumba halijai maji wakati wa mvua?
Iko eneo zuri sana ila nimeuliza hivyo kwa sababu moja nimeona hiyo nyumba imechanika
 
NYUMBA INAUZWA.

MAELEZO
Ni nyumba mbili ndani ya compound moja
Moja ina vyumba vitatu na nyingine vyumba viwili.
Pia zina:
-sitting
-dining
-public toilet

UKUBWA
sqm400

DOCUMENTS
Leseni ya makazi

LOCATION
Tabata relini (Kituoni pale pale barabarani)

BEI
Tsh milion 90.
(Mazungumzo yapo). MAWASILIANO
Calls &whatsapp
0673540985
0765532858
Au fika ofisini Lufungira, Mwenge katika jengo la SAVEI PLAZA groundfloor.
View attachment 1420471View attachment 1420472View attachment 1420473View attachment 1420474

Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za nyumba mbona haujaweka ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
90mil??
Kiinua mgongo cha mwalimu
Haupo serious mkuu
 
Hapafai hapo ni njia ya maji hatari. Hizi nyumba zina zaidi ya miaka 20+. Dalali unatakiwa kuwa na standard zako hivi kweli 90 million ya mtu akaiweke kwenye njia ya maji?!!! Kama jina lako linavyosema Bora ukose hela ila sio hivi inatutisha wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa tatizo ni dalali anapost bila kujali kwamba vitu vyake vitaonekana kuwa na walakini
 
Back
Top Bottom