House4Sale Nyumba inauzwa karibu na Leaders Club, Kinondoni – Bei tsh bilioni 5

Je watakatisha fweza wamekoswa hadi hili linafika humu jukwaani?
 
Bongo Hakuna regulation za soko la nyumba ndio maana wanajiamkia na kutamka bei na pia madalali wana tamaa ya kutaka kupiga Dili moja limvushe na yeye atoke kimaisha

Mimi Nina nyumba mbili UK moja nimeshalipia mortgage na Ina thamani £300,00 halafu mbung’o mmoja yuko shithole kantre ananiuzie pagala kwa pound milioni £13,000,000 wakati pound milioni moja nanunua hekalu kabisa yaani Castle ndani ya UK

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…