MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Real Estate industry ya bongo imejaa uhuni uliokithiri.
Sahv huko juu pesa watu wanayo ndomana bei zinalopokwaReal Estate industry ya bongo imejaa uhuni uliokithiri.
😂😂😂😂😂😂 Bado hujaekewa kakaKwa hapo mnamuonea Bwana dalali. Leaders ni karibia kabisa na Mjini kati, square mita 1935 si mchezo!
Hata hao wenye ofisi/wanasheria ni wale wale tu 😄Na hana hata ofisi