Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ni Tabia za Maskini kuuza vitu kwa bei kubwa akidhani atammaliza shida zake.Bongo Hakuna regulation za soko la nyumba ndio maana wanajiamkia na kutamka bei na pia madalali wana tamaa ya kutaka kupiga Dili moja limvushe na yeye atoke kimaisha
Mimi Nina nyumba mbili UK moja nimeshalipia mortgage na Ina thamani £300,00 halafu mbung’o mmoja yuko shithole kantre ananiuzie pagala kwa milioni £13,000,000 wakati pound milioni moja nanunua hekalu kabisa yaani Castle
View attachment 3656351
Ujiko na kutafuta sifaShida pia wabongo tunapenda kuongeza sifuri sana nyumba kajenga kwa million 50 ukimuuliza atakwambia nimejenga kwa million 150
Mbona huwa naona ni comparison isiyo sawa. Hiyo nyumba ipo Houston sehemu gani, je, ni sehemu ambayo kuna ruksa ya kubomoa na kujenga ghorofa tano au kumi za kibiashara, ukinunua inaweza kufanya investment gani, mkopo kwa ajili ya ujenzi huko una riba asilimia ngapi, ushindani wa soko la ardhi/nyumba upoje.View attachment 3656339
Watu wenye uzoefu wenu hembu nielewesheni Mimi kapuku inakuaje nyumba iliyopo wilaya ya kinondoni ni ghali kuliko nyumba iliyopo Houston Texas
Fanya Bongo Iwe Tukuyu na Texas iwe Oyster bay, zijengwe nyumba mbili zenye viwango Sawa, ipi itakuwa na thamani?Kwa kuongezea, nyumba iliyojengwa Tukuyu kwa viwango vya nyumba ya Oysterbay hazitalingana thamani wala demand
Jibu lipo kwenye post yangu. Kwanza Texas ni kubwa kama ilivyo Tanzania. Unazungumzia nyumba Tanzania (Masaki, Oysterbay, Kimara Bonyokwa, Kazuramimba au Ngulelo?)Fanya Bongo Iwe Tukuyu na Texas iwe Oyster bay, zijengwe nyumba mbili zenye viwango Sawa, ipi itakuwa na thamani?
HahahJibu lipo kwenye post yangu. Kwanza Texas ni kubwa kama ilivyo Tanzania. Unazungumzia nyumba Tanzania (Masaki, Oysterbay, Kimara Bonyokwa, Kazuramimba au Ngulelo?)
🔥Tunakuletea🔥
NYUMBA INAUZWA
IPO KARIBU na LEADERS CLUB
KINONDONI
LAMI MPAKA MLANGONI
IPO MAENEO TULIVU SAANA USHUANI
Umiliki (HATI SAFI)
(MIRATHI HALALI)
Kiwanja (SQM 1,935)
👉Price (Billion 5)
Maongezi kidogo
Call/WhatsApp +255758844717
View attachment 3656147
Labda kwa sbb zimejengwa kwa mbao.....View attachment 3656339
Watu wenye uzoefu wenu hembu nielewesheni Mimi kapuku inakuaje nyumba iliyopo wilaya ya kinondoni ni ghali kuliko nyumba iliyopo Houston Texas
Wabongo wajinga sana kwenye Pricing ya Ardhi.Be za Ardhi ambazo zinafanywa kwa mfumo wa Mortgage wao wanafanya Biashara ya Cash.Sasa nikanunua Gofu Leaders wakati nikiwa na B Moja naweza Tengeneza Ushuani kwanga kwenye Angalau Heka 50,Nikaweka miti ya matunda,Bustani,nikafuga na Nikaweka na ZOO kabisa nyumbani na ikaishi Nje kabisa ya Mji na kuweka sehemu ya KUTUA Helicopter hata Private Jet na Maisha yakawa matamu.Anyway Hii ni Mbongo.Nimekumbuka post ya malisa Instagram, kwamba nyumba bongo ni ghali kushinda hata za baadhi ya maeneo ya marekani na canada
Na hana hata ofisiDalali anatajilika hapa
Hii industry ya ardhi na nyumba bongo bado haina regulator anayejielewa ndio maana watu wanajipangia tu beiNimekumbuka post ya malisa Instagram, kwamba nyumba bongo ni ghali kushinda hata za baadhi ya maeneo ya marekani na canada
B1 nyingi na chench inabaki unaishi kizungu kabisaWabongo wajinga sana kwenye Pricing ya Ardhi.Be za Ardhi ambazo zinafanywa kwa mfumo wa Mortgage wao wanafanya Biashara ya Cash.Sasa nikanunua Gofu Leaders wakati nikiwa na B Moja naweza Tengeneza Ushuani kwanga kwenye Angalau Heka 50,Nikaweka miti ya matunda,Bustani,nikafuga na Nikaweka na ZOO kabisa nyumbani na ikaishi Nje kabisa ya Mji na kuweka sehemu ya KUTUA Helicopter hata Private Jet na Maisha yakawa matamu.Anyway Hii ni Mbongo.
Hakuna sehemu ingine duniani ambapo ardhi/nyumba huuzwa bei kubwa kuliko mkoa wa pembezoni mwa Tanganyika/Dar es salaam.🔥Tunakuletea🔥
NYUMBA INAUZWA
IPO KARIBU na LEADERS CLUB
KINONDONI
LAMI MPAKA MLANGONI
IPO MAENEO TULIVU SAANA USHUANI
Umiliki (HATI SAFI)
(MIRATHI HALALI)
Kiwanja (SQM 1,935)
👉Price (Billion 5)
Maongezi kidogo
Call/WhatsApp +255758844717
View attachment 3656147