House4Sale Nyumba inauzwa Manzese uzuri

House4Sale Nyumba inauzwa Manzese uzuri

Kutoka barabarani kuna mstari wa kwanza wa nyumba
Hii ipo mstari wa PILI wa nyumba kutoka barabarani
Means gari haifiki kwa nyumba.
Na uchochoro wa kutokea kwenye Nyumba unatosha kupitisha hata kabati?
 
Means gari haifiki kwa nyumba.
Na uchochoro wa kutokea kwenye Nyumba unatosha kupitisha hata kabati?
Ndio unatosha.
Picha ya tano hapo katika nguzo ndo uchochoro na uki zoom iyo Taa inayowaka ndio barabarani.
 
Angalia picha ya tatu na nne kutoka chini/mwisho halafu utoe maamuzi
Mkuu hizo picha zimepigwa siku kuna mvua na ardhi unaiona mbichi.
Mtu ambaye nyumba yake inakumbwa na mafuriko hawezi kamwe kutangaza kuuza nyumba sahizi mvua zinanyesha maana ataaibika.
Wateja serious waje waione wenyewe.
 
Back
Top Bottom