Nyumba inauzwa Mbezi -Makabe kwa Paulo

Nyumba inauzwa Mbezi -Makabe kwa Paulo

kiwanja ni kikubwa sana.

Kwanini asigawe akapata viwanja 3 na kuuza viwanja viwili ili apate hela ya kumalizia hiyo nyumba?.

Ujenzi ni balaa.
Alaf Jumba ni kubwa pia.
Kwa makadirio yangu ya haraka haraka hapo ilipofikia ishameza zaid ya 55 Mill.

Wale ambao wanaona ujenz mrahisi ujue hawajawah kujenga. Wajaribu waone 😊😊😊😊
 
😀😀😀😀 waru wa dar bana hizo tofali na hilo bati ndo 92milion kweli..?
Ww umejengea wap? Na nyumba ina ukubwa gan?.

Kwa ukubwa huo msingi hapo imekula 15+mill.
Kupandisha 10mill+.
Kenchi 10mill+ na mbao.
Bati hapo sio chini 20mill+. Labda kama ameweka bati fekero.
Jumla 55+ Mill.

Tuweke 65 Mill hadi hapo ilipofikia.

Na Bei hapo ni pamoja na ufundi.
Na ndio makadirio ya chini kabisa haya.
 
MKuu kidogo wewe una logic
Ukubwa wa eneo sqm 1336 kwa

VALUATION YA MAKADIRIO
Mali: Nyumba isiyokamilika yenye paa pamoja na kiwanja cha sqm 1,336.
A. Thamani ya Ardhi
Ukubwa wa ardhi: 1,336 sqm
Hizi sqm1,336 ni zaidi ya viwanja 3 vya sqm 400

Bei ya soko kwa mbezi makabe: TSh milioni 25 kwa kiwanja cha 400 sqm

Mahesabu:
3 × milioni 25 = TSh milioni 75
Eneo lililobaki (136 sqm):
136 × 62,500 = TSh milioni 8.5
Thamani ya ardhi = TSh milioni 83,500,000
B. Thamani ya Jengo
Kutokana na ujenzi ulipofikia
Msingi umekamilika
Kuta zimejengwa
Ring beam imekamilika
Paa limefungwa
Bado finishing zote hazijafanyika
Makadirio ya thamani ya hatua hii ya ujenzi:
TSh milioni 85,000,000 – 100,000,000
chukua thamani ya kati:
TSh milioni 92,000,000
C. Jumla ya Thamani ya Mali

Thamani ya Ardhi
TSh 83,500,000
Thamani ya Jengo
TSh 92,000,000
Jumla ya Thamani
TSh 175,500,000/=
Ohoo mwenye nyumba anauza nyumba na dalali anauza kiwanja ahaa sawa
 
MKuu kidogo wewe una logic
Ukubwa wa eneo sqm 1336 kwa

VALUATION YA MAKADIRIO
Mali: Nyumba isiyokamilika yenye paa pamoja na kiwanja cha sqm 1,336.
A. Thamani ya Ardhi
Ukubwa wa ardhi: 1,336 sqm
Hizi sqm1,336 ni zaidi ya viwanja 3 vya sqm 400

Bei ya soko kwa mbezi makabe: TSh milioni 25 kwa kiwanja cha 400 sqm

Mahesabu:
3 × milioni 25 = TSh milioni 75
Eneo lililobaki (136 sqm):
136 × 62,500 = TSh milioni 8.5
Thamani ya ardhi = TSh milioni 83,500,000
B. Thamani ya Jengo
Kutokana na ujenzi ulipofikia
Msingi umekamilika
Kuta zimejengwa
Ring beam imekamilika
Paa limefungwa
Bado finishing zote hazijafanyika
Makadirio ya thamani ya hatua hii ya ujenzi:
TSh milioni 85,000,000 – 100,000,000
chukua thamani ya kati:
TSh milioni 92,000,000
C. Jumla ya Thamani ya Mali

Thamani ya Ardhi
TSh 83,500,000
Thamani ya Jengo
TSh 92,000,000
Jumla ya Thamani
TSh 175,500,000/=
Mafundi wanawaibia sana
 
Back
Top Bottom