Nyumba inauzwa Mbezi -Makabe kwa Paulo

kiwanja ni kikubwa sana.

Kwanini asigawe akapata viwanja 3 na kuuza viwanja viwili ili apate hela ya kumalizia hiyo nyumba?.

Ujenzi ni balaa.
Alaf Jumba ni kubwa pia.
Kwa makadirio yangu ya haraka haraka hapo ilipofikia ishameza zaid ya 55 Mill.

Wale ambao wanaona ujenz mrahisi ujue hawajawah kujenga. Wajaribu waone 😊😊😊😊
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ waru wa dar bana hizo tofali na hilo bati ndo 92milion kweli..?
Ww umejengea wap? Na nyumba ina ukubwa gan?.

Kwa ukubwa huo msingi hapo imekula 15+mill.
Kupandisha 10mill+.
Kenchi 10mill+ na mbao.
Bati hapo sio chini 20mill+. Labda kama ameweka bati fekero.
Jumla 55+ Mill.

Tuweke 65 Mill hadi hapo ilipofikia.

Na Bei hapo ni pamoja na ufundi.
Na ndio makadirio ya chini kabisa haya.
 
Ohoo mwenye nyumba anauza nyumba na dalali anauza kiwanja ahaa sawa
 
Mafundi wanawaibia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…