INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

MrsPablo1

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
1,073
Reaction score
1,941
Mbweni Stand alone House, 3 bedrooms, Toilets, Kitchen and Dining, Parkin space up to 5 cars, Dawasa Water supply, Garden space,sqm 460, hati miliki ipo.
Price tshs.180million.
Dalali pia unaruhusiwa kuleta mteja .
📞 +255 785 335 350.
WhatsApp +255 621 142 409

F8585ECB-884F-4931-80A0-4B4C7A7F787B.jpeg
C0562343-535C-4CBF-9B5E-BB280B792702.jpeg
E66502F6-2D8B-48C9-93C4-18EBC19B86EB.jpeg
FFFF66A4-F228-4A3D-969A-09A75B3690AF.jpeg
66DF9CA2-FACA-4EE3-A45F-A430A22B85A4.jpeg
AA9B064E-9988-446A-86B4-A3DAA4D15951.jpeg
CD04AFAE-5A9D-42C4-A6CF-376CF15732C4.jpeg
FB45CA55-4ED6-486D-8CDF-D63A8E0A1033.jpeg
0F52FB53-37C6-4A7E-9A48-792F84E32665.jpeg
 
Aliyejenga amejua sana kucheza na Ardhi yake.

Maana nyumba inaonekana kubwa na space iliyobaki nayo inaonekana kubwa.

Mtu anaweza akafikiri kiwanja ni kikubwa kuliko Sqm 460 kwa jinsi nafasi kubwa ilivyobaki
 
Kama vitu gani kwasababu hata mimi natamani pia ninunue nyumba ila shida ni hiyo
Nenda kaone eneo akikisha unawashirikisha mwenyekiti( ofisi ya serikali ya mtaa husika ) na mjumbe ( hakikisha unawauliza majirani kama wote huyo ndo mjumbe kweli na kwake ufike) ili uwaulize khs umiliki halali wa eneo husika...Pia tafuta majirani wakongwea uwaulize khs eneo husika.ikikupendeza waitwe watu wakaribu wa na anaekuuzia wawe shaidi ktk kuuziana...Pia vitambulisho vyao vya nida viende sawa sawa na majina ya usajili wa namba zao za simu.
 
Back
Top Bottom