Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,477
- 1,668
Nayakubali sana majengo ya waroma huku Tanzania, majengo yao ni ya miaka mingi ila design hazipitwi na wakati.Na ukitaka box liwe classic usiweke zile roof ndefu kama kofia za Ku Klux Klan, weka roof fupi kama hio nyumba kwenye hii thread.