INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

April 2023 hii itakuwa sio bahati yangu
Ila kama ningeiona wakati huo ningetoa offer kwa kweli
Ngoja nisubiri nyingine
Ila hii bado watu wanaijadili baada ya miaka kupita
Kuna nyingine Goba ya wifi yangu ni kubwa ila itabidi uipendezeshe mwenyewe, Hiyo ya mbweni kwakweli kila mtu aliipenda na haikuchukua muda ikapate mteja
 
Mimi sio mwenyeji sana ila nataka kuwekeza sehemu nzuri na salama
Kama hiyo unasema inataka renovation
Swali je ina ukubwa kiasi gani na je inataka ipigwe chini yote au inafaa kufanywa hata Airbnb?
 
Ni nyumba kabisa ya kisasa lakin mwenyewe hajafanyia exterior decoration, kwa Airbnb unarudisha pesa mapema sana kwa sababu ina vyumba vinne vyote self jiko sebule, mimi nina uzoefu na Airbnb, ukipata msimamizi mzuri hela utaiyona mapema na uzuri Airbnb hela yako utakuwa unaipata huko huko ulipo. kama utapata nyumba maeneo ya Goba nomba kazi 🙏 kuanzia consulting mpaka usimamizi.
 
Black Sniper Soma hii
 
Sema kuna ramani nitahitaji tuijadili PM . Box moja nimetokea kulikubali sana.
Na ukitaka box liwe classic usiweke zile roof ndefu kama kofia za Ku Klux Klan, weka roof fupi kama hio nyumba kwenye hii thread.
 
Back
Top Bottom