Apollo tyres
Senior Member
- Nov 16, 2024
- 109
- 286
Nyumba Kali Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa 180mil unapata kiwanja na unajenga nyumba nzuri kuliko hiyo na zinabaki pesa za furnitures
Nitoe Mimi, Mimi ni raisi wa ma jobless pro maxMkuu Jamii Forum kila mtu ni Bilionea ,ana majumba prime areas ,ana push Range ,Audi Q7 ,MBW X7 ,LC 300,kwahiyo zoea tu.
Angalia eneo kwanza ... Hicho kiwanja kipo mbweni ...Kwa 180mil unapata kiwanja na unajenga nyumba nzuri kuliko hiyo na zinabaki pesa za furnitures
Ukinunua hii nyumba utakiuaa chamaaa!Nitoe Mimi, Mimi ni raisi wa ma jobless pro max
Kwani chama kina michango??😂Ukinunua hii nyumba utakiuaa chamaaa!
Michangoo? Itoke wapiiii!Kwani chama kina michango??😂
Dah, 🤣 😂Michangoo? Itoke wapiiii!
Chama kitakufa maana mwanachama mmoja mmoja watauliza Rais ametoa wapi fedha kubwa hii kununua nyumba
Je ni Pesa za ufadhili Pengine alipewa atupatie hata tuwe tunanunua Bando yeye ndo amezila au Rais anahubiri asichokishi 🤣
Mkuu wewe uko kwenye hiyo business au ulikuwa unauza hiyo tu?Yes na iliuzika haraka
MrsPablo1 una ulizwa hapa rafikiMkuu wewe uko kwenye hiyo business au ulikuwa unauza hiyo tu?
then start being professional madamNauza tuu za jamaa zangu sio professional
Hajacheza na ardhi,dalali kacheza na camera, nenda kashuhudie live ndio utajua hujuiAliyejenga amejua sana kucheza na Ardhi yake.
Maana nyumba inaonekana kubwa na space iliyobaki nayo inaonekana kubwa.
Mtu anaweza akafikiri kiwanja ni kikubwa kuliko Sqm 460 kwa jinsi nafasi kubwa ilivyobaki
Mkuu kuna Nyumba naitoa IPO Goba Mata wa kunguruApril 2023 hii itakuwa sio bahati yangu
Ila kama ningeiona wakati huo ningetoa offer kwa kweli
Ngoja nisubiri nyingine
Ila hii bado watu wanaijadili baada ya miaka kupita
Hii ya Mbweni ilikuwa inanifaa sanaMkuu kuna Nyumba naitoa IPO Goba Mata wa kunguru
Eneo lote kuna mansion
Pametulia Sana