INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

INAUZWA Nyumba inauzwa Mbweni

Kwa 180mil unapata kiwanja na unajenga nyumba nzuri kuliko hiyo na zinabaki pesa za furnitures
Unapajua mbweni mkuu!!? Tuachane na mbeni, hiyo nyumba tu, hiyo mil180 itatosha kuijenga hiyo nyumba na nakishi zake zote mpaka hivyo ilivyo!!?

Hiyo 180 labda hilo banda la uwani ambalo kuna watu wanatamani ingekua nyumba ya kuishi milele na vijakazi wao!

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Ulishawahi jenga au ndo wasimuliwa habari?
 
Unapajua mbweni mkuu!!? Tuachane na mbeni, hiyo nyumba tu, hiyo mil180 itatosha kuijenga hiyo nyumba na nakishi zake zote mpaka hivyo ilivyo!!?

Hiyo 180 labda hilo banda la uwani ambalo kuna watu wanatamani ingekua nyumba ya kuishi milele na vijakazi wao!

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Kwa uzoefu wangu wa ujenzi hiyo nyumba haifiki milioni 80 kwa ukubwa wake huo. Nina nyumba za kawaida na ghorofa. Na kila mara najenga najua ujenzi kuliko navyomjua mwanamke

Kwa bei ya 180 si mbaya kwa maeneo ya Mbweni kwa kuwa neighbourhood inaibeba.

Eneo ni dogo na kajumba ni kadogo
 
Gharama za ujenzi hazifanani mkuu! Kuanzia location mpaka material! Hivyo kwa location ya hiyo nyumba ilipo na jinsi ilivyo, ukiunga na kiwanja hiyo 180m anaitoa bure, pengine anashida fulani na ipo serious sana

Kwa hiyo nyumba kama hiyo ikijengwa Tabata na Mbweni gharama zinaongezeka?

Nina nyumba Mikocheni nilijenga kwa milioni 90 na ina vyumba vinne na servant quarter na niliweka mpk ukuta na geti na nimepangisha mzungu
 
Mwaka gani!!?

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
2020. Sikatai hiyo nyumba kuuzwa 180m kwani kuna factors nyingi kwenye kuuza ikiwemo high profit margin.

Binafsi biashara ya real estates ndio maisha yangu ingawa nina kazi kubwa ya serikalini

Nimewahi kujenga Dodoma nyumba ya chumba kimoja, sebule, jiko, choo na sehemu ya kufulia kwa 18m na mpangaji ananilipa 200k kwa mwezi
 
Kwa uzoefu wangu wa ujenzi hiyo nyumba haifiki milioni 80 kwa ukubwa wake huo. Nina nyumba za kawaida na ghorofa. Na kila mara najenga najua ujenzi kuliko navyomjua mwanamke

Kwa bei ya 180 si mbaya kwa maeneo ya Mbweni kwa kuwa neighbourhood inaibeba.

Eneo ni dogo na kajumba ni kadogo
Yaelekea wewe ni mtathimini mzuri sana naweza kukusumbua siku za usoni mkuu.
 
2020. Sikatai hiyo nyumba kuuzwa 180m kwani kuna factors nyingi kwenye kuuza ikiwemo high profit margin.

Binafsi biashara ya real estates ndio maisha yangu ingawa nina kazi kubwa ya serikalini

Nimewahi kujenga Dodoma nyumba ya chumba kimoja, sebule, jiko, choo na sehemu ya kufulia kwa 18m na mpangaji ananilipa 200k kwa mwezi
Hiyo nyumba uliyojenga dodoma kwa 18m, hapo mikocheni ungeijenga kwa sh ngapi mkuu! Jumlisha na kiwanja

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Nyumba Kali
Simu Kali
Sema uyo jirani mwenye ghorofa uyo atakua ananichungulia

All the best mkuu, karibu kwenye kupanga mtaani
 
Kwa uzoefu wangu wa ujenzi hiyo nyumba haifiki milioni 80 kwa ukubwa wake huo. Nina nyumba za kawaida na ghorofa. Na kila mara najenga najua ujenzi kuliko navyomjua mwanamke

Kwa bei ya 180 si mbaya kwa maeneo ya Mbweni kwa kuwa neighbourhood inaibeba.

Eneo ni dogo na kajumba ni kadogo
Hahahaha kaka tema mate chini wewe hauna ghorofa acha uongo hivi kwanini vijana munadanganya kiasi hiki?
 
Nimeongelea nyumba sio kiwanja. Kiwanja inategemea na eneo ila kwa kiwanja cha sqm 400 to 500 hakiwezi kula 50m kwa maeneo ya Mbweni
Kwa nilicho kuuliza na ulicho nijibu naamini ulinielewa vizuri sana ila uliamua tu kubishana kwa kua unaamini unajua sana! Aya tuendelee na mambo mengine sasa

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa yako kiwanja peke yake kwa Dar kufika 100,000/= ni maeneo prime sana. Goba yenyewe ambayo imepaishwa sana sqm 1 inauzwa 40,000/=

Hilo eneo Mbweni tuchukulie unanunua kwa laki kwa sqm ina maana ni 40m. Sasa hapo kuja nyumba ya milioni 140 kwa macho yako ya nyama?

Mnajidanganya sana kwenye ujenzi vijana wa siku hizi.

Nakupa mfano mwingine mdogo kwenye nyumba yangu ya Mikocheni nilijenga mnara wa tenki la maji la lita 5000 pamoja na kuunga mfumo wa maji na tenki. Hiyo stendi chini ina chumba cha 3 by 3m na nilitumia 7.5m tu

Yule mzungu makorokoro yote ya field ameweka kwenye hicho chumba ambacho kimekuwa storage mpk pikipiki mbili.

Ujenzi sio gharama kama tunavyodanganyana na watu wanaibiwa sana tofauti na uhalisia.

Anyway sibishani na vijana ila nataka muelewe uhalisia na sio kubwabwaja tu
 
Back
Top Bottom