Mbweni plot ni very expensive mkuu, labda iwe Mbweni ya ubungo! / Mbweni ipi mkuu? Ambapo ipo?Kwa 180mil unapata kiwanja na unajenga nyumba nzuri kuliko hiyo na zinabaki pesa za furnitures
Kama vitu gani kwasababu hata mimi natamani pia ninunue nyumba ila shida ni hiyoUsiwe na shaka mkuu, kuna vitu unaweza kufanya ili kujiridhisha .
Kwa Mbweni, hiyo ni sawa na servant quarter πππnyumba imetulia
Nenda kaone eneo akikisha unawashirikisha mwenyekiti( ofisi ya serikali ya mtaa husika ) na mjumbe ( hakikisha unawauliza majirani kama wote huyo ndo mjumbe kweli na kwake ufike) ili uwaulize khs umiliki halali wa eneo husika...Pia tafuta majirani wakongwea uwaulize khs eneo husika.ikikupendeza waitwe watu wakaribu wa na anaekuuzia wawe shaidi ktk kuuziana...Pia vitambulisho vyao vya nida viende sawa sawa na majina ya usajili wa namba zao za simu.Kama vitu gani kwasababu hata mimi natamani pia ninunue nyumba ila shida ni hiyo
Hata kama Sqm 1 iwe laki, bado kwa hicho kiwanja utakipata kwa milioni 40.6Mbweni plot ni very expensive mkuu, labda iwe Mbweni ya ubungo! / Mbweni ipi mkuu? Ambapo ipo?
Huyo pengine haujui Mbweni,kupata kiwanja tu hadi milioni 50 na bado hujajenga.kwa kiasi hicho inafaa.Mbweni plot ni very expensive mkuu, labda iwe Mbweni ya ubungo! / Mbweni ipi mkuu? Ambapo ipo?