House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

Sasa mkuu, hao madada ilikuwaje ukawachukua bila idhini yao? Ungewaficha wasionekane
 
madalali ndio wanawatiaga ujinga wenye nyumba. hapo kamdanganya kabisa mtu wa kutoa Mil 90 kwa hio nyumba atapatikna.
 
Hivi madalali bhangi ya wapi mnatumiaa..????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema kiwanja hiyo nyumba mil 90 labda ukalogeee
 
Back
Top Bottom