House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

Nyumba yenye vyumba 5 ikiwa kwenye hali nzuri.
Ina uwanja mbele na nyuma
Mita za mraba 1500
Inauzwa mil 90 maongezi yapo
Karibuni simu 0768412181
Mbezi Kimara
View attachment 1476259View attachment 1476260
Acha kutania watu. Nimekuja faster nikidhani nitaona nyumba kweli kumbe masihara. Ingia youtube utype dalalimwanamke uone nyumba za milioni 90. Ni nyumba kali sana na za kisasa na si masihara unayotuletea hapa. Hivi wewe unaijua miioni 90 kweli? Kwa ambaye fedha zake zinamuwasha atakupa mil 45 na penyewe ni kwa ajili ya kiwanja tu na si nyumba.
 
Mimi nina kiwanja maeneo hayo ya mbezi square meter 1100 nauza million 30 lakini watu wameona kubwa wakati huyo square meter 1400 anauza mil 90 maana hapo hamna nyumba ni kiwanja icho
 
Sq1100 × Viwanja 3=3300

Sq3300=Tsh milioni 90

Sq1400=milioni 90

Huo ndio utofauti wake 😀
 
Back
Top Bottom