trust 1
Member
- Aug 5, 2017
- 84
- 73
Dar mna raha sana; huku Arusha hicho kiwanja peke yake TZS 30 million
Piga hesabu ya bei za viwanja Arusha kwa kilometer 13 kutoka city center,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar mna raha sana; huku Arusha hicho kiwanja peke yake TZS 30 million
Acha uongo basi, nyumba imekula mvua hadi tofali zinasema Yarabi na bado unataka kutudanganya?Nyumba yake kapaua siku nyingi,akahamishwa kikazi mkoa mwingine
Ana hati?Kwa kipi sasa nidanganye we si unaona haijapigwa plasta,au unataka zile za jenga uza unadanganywa na finishing ya nyumba
Tatizo tu iko mbugani,nyumba nzuri , baada ya finishing itatisha sana