acha kukatisha watu tamaa mkuu... wengi wanaenda nje nawanaponaKumpeleka huyo mgonjwa nje ya nchi ni kupoteza hela tu. Kama siku zake zimeshaisha Duniani waambie waandae tu kaburi. Ingekuwa huko nje ya nchi kuna namna ya kumponya mtu, basi wazungu wasingekuwa wanakufa!
Naongea hivi coz kuna mama mmoja aliwahi kutumia milioni 14 kumuuguza mume wake na bado mume wake akafariki. Yule mama akawa anajilaumu na kusema angejua kuwa mume wake ataondoka asingepoteza pesa zote hizo, na hii ilikuwa ni miaka ya 1996 huko!
Wanaenda tu kupata nafuu... Kama ugonjwa ukishindikana hapa chances za kupona nje pia ni ndogo...acha kukatisha watu tamaa mkuu... wengi wanaenda nje nawanapona
Mkuu - ft 50/60 ni milioni 10?Kama hichwa cha thread kinavyojieleza,Kuna rmtu anauza plot yake ya ft 50/60 ambayo tayari ina mabanda ya uhani (vyumba vitatu) kwa Tsh Million 10.
Nyumba ipo eneo zuri na site haina mgogoro,wanauza hili wampeleke ndugu yao kwenye matibabu nje ya nchi.
Again hakuna udalali, Yoyote atakayehitaji kupaona tukutane pm.
Maelewano yapo pia(According to muuzaji)
Wewe jamaa utakuwa na roho ya ukatili. Ushindwe na roho yako ya kishetaniKumpeleka huyo mgonjwa nje ya nchi ni kupoteza hela tu. Kama siku zake zimeshaisha Duniani waambie waandae tu kaburi. Ingekuwa huko nje ya nchi kuna namna ya kumponya mtu, basi wazungu wasingekuwa wanakufa!
Naongea hivi coz kuna mama mmoja aliwahi kutumia milioni 14 kumuuguza mume wake na bado mume wake akafariki. Yule mama akawa anajilaumu na kusema angejua kuwa mume wake ataondoka asingepoteza pesa zote hizo, na hii ilikuwa ni miaka ya 1996 huko!
Futi ni 50/60 ni kidogo sana kwa milioni 10.Ndio boss kuna n
Yumba tayari wanaishi and like I said maelewano na muuzaji yapo
Hapana mkuu! Kila nafsi itayaonja mauti. Kama siku zako za kukaa Duniani zimefika mwisho, kuna ubaya gani ukiondoka ukaenda kuungana na wahenga huko walipo? Hata mie siku zangu zikifika sitaki mtu asumbuke, mniache niende zangu kwa amani ya Bwana. Msioelewa maana ya kifo ndio mnatapa tapa. Kifo ni kuhamishwa kutoka maisha haya ya muda kwenda kwenye maisha ya kudumu, either Paradiso kama ulitenda mema, au Jehanam kama ulitenda mabaya. Sasa waovu ndio wanaogopa kufa, ila ukiwa mtenda mema, kufa ni faida... (Soma biblia Kuishi ni Kristo na kufa ni faida)....Wewe jamaa utakuwa na roho ya ukatili. Ushindwe na roho yako ya kishetani