Duuh! watu kama wewe huwa wananisikitisha sana wakiwa wanauguza ndugu zao,unakuta ndugu ana mali ambazo pengine zingemponya,lakini watu kama wewe kila wakiambiwa uza kitu flani nipelekwe hospitali,mnakataa nakuanza kumdanganya kua hakuna wateja,mwisho wa siku anafariki na mnabaki na hivyo vitu vyake.Inasikitisha sana pale tunapotafuta vitu kwaajili yakutusaidia wakati wa shida,ila tukiwa tunaumwa wanajitokeza watu wengine wanatukatia tamaa na mwishowe wanakua wagumu kushirikiana nasisi ili kutuokoa katika shida nakuamua kuturudisha nyumbani ili tukasubiri kufa kwa maumivu makali na taratibu.Mungu nisaidie nife kifo ambacho hakitakua na mwingiliano wa mawazo kama yako,nitibiwe kadri ya nitakavyoweza nasikukatiwa tamaa.