House4Sale Nyumba inauzwa msongola(Kitonga) bei Mil 10.

We nae ni boya tu,,unatangazaje biashara bila kuonesha hyo nyumb???au ndo matapelii wenyewe nyiee ndomana we ni boyaa atii
 
Sio unashukur mkuuuu,,,unashukur kwa lip sas??iv kweli kwa akili ya kawaida tu unaadvataiz vip bidha bila mteja kuiona??au unadhani watu watakufkiriaje juu ya hilo?wengne watakutusi,,,watakubeza but mim nmekupa hilo ilo ili atlist uone mahal umekosea tena unasema unashkur???kwel hatar sana weka mzigo mezani mkuuu na location yake ati
 
Angalia post ya #20 hapo juu,

I said, Jioni naenda site ntapiga picha niunge na uzi huu,Uboya wangu unatoka wapi boss
 
Duuh! watu kama wewe huwa wananisikitisha sana wakiwa wanauguza ndugu zao,unakuta ndugu ana mali ambazo pengine zingemponya,lakini watu kama wewe kila wakiambiwa uza kitu flani nipelekwe hospitali,mnakataa nakuanza kumdanganya kua hakuna wateja,mwisho wa siku anafariki na mnabaki na hivyo vitu vyake.Inasikitisha sana pale tunapotafuta vitu kwaajili yakutusaidia wakati wa shida,ila tukiwa tunaumwa wanajitokeza watu wengine wanatukatia tamaa na mwishowe wanakua wagumu kushirikiana nasisi ili kutuokoa katika shida nakuamua kuturudisha nyumbani ili tukasubiri kufa kwa maumivu makali na taratibu.Mungu nisaidie nife kifo ambacho hakitakua na mwingiliano wa mawazo kama yako,nitibiwe kadri ya nitakavyoweza nasikukatiwa tamaa.
 
Kila nafsi itaonja mauti sawa. Huo ni mtihani pekee ambao Mungu ndiye mwenye uamuzi wa mwisho.

Mwanadamu kusema maneno kama hayo uliyoyaandika ni sawa kujipa mamlaka ya Mungu.

Shetani pekee ndiye husema kwa ugonjwa fulani hautapona lakini kwa mapenzi ya Mungu watu wanapona.

Biblia unaisoma lakini huielewi.
 
.Mungu nisaidie nife kifo ambacho hakitakua na mwingiliano wa mawazo kama yako,nitibiwe kadri ya nitakavyoweza nasikukatiwa tamaa.
Unang'anga'ania kuishi Duniani milele unamiliki nini hapa Duniani? Inabidi wewe uondoke ili wajukuu washike nafasi yako. Waliokuwepo wasingekufa, sisi tusingelizaliwa. Dunia ingekuwa imejaa na kusingekuwa na nafasi. Embu piga picha kama ndugu zako wa tumbo moja wangeng'ang'ania kukaa tumboni kwa mama yako baada ya miezi tisa kama wewe ungepata nafasi ya kukaa humo? Ilipofika miezi tisa, walitoka tumboni ndio maana na wewe ukapata nafasi ya kukaa humo tumboni. Ndivyo na Dunia ilivyo, Dunia ni kama mama mwenye mimba, asipozaa, wale wengine hawatapata nafasi... So ni vizuri sisi tuliokwisha pata nafasi ya kuishi kwa miaka kadhaa tukaondoka na kuwapisha wengine. Upo hapo?
 
Angalia post ya #20 hapo juu,

I said, Jioni naenda site ntapiga picha niunge na uzi huu,Uboya wangu unatoka wapi boss
Mkuu nimekusoma...

Ila jitahid picha bana biashara bila picha sijawahi ona!

Jitahidi
 
[emoji107]
 
[emoji106]
 
[emoji106]
 
Inapobidi kuokoa uhai wa mtu gharama yoyote itumike tu, kwani hakuna mbadala, ila hicho kiwanja au banda litapatikana lingine tu, tofautisha thamani ya binaadam na bidhaa ndugu.
 
Mkuu muuzaji(Jirani yangu) Nahc hayupo serious nlitaka kumsaidia tu kwa issue yake ya mgonjwa,,,,Hataki nyumba yake ipigwe picha eti ikionekana mtandaoni wataonekana wamefulia,,,Nimemuacha boss,Anataka mteja wakaongee akiafiki anunue hasipoafiki basi.

Na kashuka mpaka 9 Million
 
Dah..... Labda nimsaidie[emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…