Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haina hati ila pamepimwahivi hii nyumba ina hati?
Mkuu, nyumba ni nzuri na eneo ilipo linaifanya nyumba iwe na thamani kuliko bei uliyoitaja...kwalugha nyingine inauzwa bei chee sana... sasa kwanini iuzwe tena kwa bei rahisi hivyo...hata kama ni kuhamia dodoma..-Ina vyumba vinne kimoja master
-Sebule
-Dinning hall
-Jiko
-Stoo
-Choo cha jumuia
-Kiwanja kina ukubwa wa sqm 700
mengineyo
-ina fremu 4 za kupangisha zinazotumika
-ina nyumba ya pembeni ya kupangisha yenye vyumba 2 na sebule ..chumba kimoja master
-perving blocks
-ukuta kuzunguka nyumba
-nyumba iko m 800 kutoka barabara ya segerea
BEI: 80M
MAWASILIANO: 0765 494 548
NB:nyumba haina mgogoro wowote muhusika anauza anahamia Dodoma kikazi.
View attachment 1589472View attachment 1589473View attachment 1589474View attachment 1589475View attachment 1589476View attachment 1589477
boss bei ni reasonable kabisa...mwanzoni alikua anaiuza mil 120 ikakaa muda sana pasipo kuuzika ..so akaamua kushusha bei ili iiuzike kwa harakaMkuu, nyumba ni nzuri na eneo ilipo linaifanya nyumba iwe na thamani kuliko bei uliyoitaja...kwalugha nyingine inauzwa bei chee sana... sasa kwanini iuzwe tena kwa bei rahisi hivyo...hata kama ni kuhamia dodoma..
Pia mkuu..kitu chenye thamani ni kiwanja boss na wala sio nyumba..viwanja huwa vina appreciate value wakati nyumba huwa inadepreciate valueMkuu, nyumba ni nzuri na eneo ilipo linaifanya nyumba iwe na thamani kuliko bei uliyoitaja...kwalugha nyingine inauzwa bei chee sana... sasa kwanini iuzwe tena kwa bei rahisi hivyo...hata kama ni kuhamia dodoma..
asante mkuu..Hakika maelezo yako yamejitosheleza na sina doubt tena..Kila la kheri mkuuPia mkuu..kitu chenye thamani ni kiwanja boss na wala sio nyumba..viwanja huwa vina appreciate value wakati nyumba huwa inadepreciate value
kwa wazoefu wa ujenzi nyumba mpya kama hio unaweza kuijenga kwa mil 60..so hii nyumba tuassume imedepreciate mpaka 50m. Then kiwanja tukipe 40m (kwa maana kwamba value rate ya segerea ni 50000 per square meter ×800sqm=40000000)
hapo ukijumlisha bei ya nyumba 50m na bei ya kiwanja 40m unapata 90 m
So hio bei ni reasonable kabisa
asante mkuu..Hakika maelezo yako yamejitosheleza na sina doubt tena..Kila la kheri mkuuPia mkuu..kitu chenye thamani ni kiwanja boss na wala sio nyumba..viwanja huwa vina appreciate value wakati nyumba huwa inadepreciate value
kwa wazoefu wa ujenzi nyumba mpya kama hio unaweza kuijenga kwa mil 60..so hii nyumba tuassume imedepreciate mpaka 50m. Then kiwanja tukipe 40m (kwa maana kwamba value rate ya segerea ni 50000 per square meter ×800sqm=40000000)
hapo ukijumlisha bei ya nyumba 50m na bei ya kiwanja 40m unapata 90 m
So hio bei ni reasonable kabisa
shukran mkuuasante mkuu..Hakika maelezo yako yamejitosheleza na sina doubt tena..Kila la kheri mkuu
ipo mkuu karibuNyumba bado ipo?
Kha kweli hali ngumu...hii nyumba bado ipo tuu..........nyumba ipo
Kha kweli hali ngumu...hii nyumba bado ipo tuu.
KWA hesabu hii mkuu...ukimpigia mwenye nyumba hawezi akaiuza labda awe mjinga....
Sema hesabu haina maabara..
boss bei ni reasonable kabisa...mwanzoni alikua anaiuza mil 120 ikakaa muda sana pasipo kuuzika ..so akaamua kushusha bei ili iiuzike kwa haraka
na ukiwa unataka kununua nyumba lazima ufatilitilie historia ya nyumba..milango iko wazi utafatilia kwa majirani,mwenyekiti wa mtaa na sehemu yyeto ambayo unaona unaweza kupata taarifa
ila kukuasure ni kuwa nyumba haina tatizo lolote
Ndio boss ni ushauri mzuri..ila mkuu suala la kuuza mwisho wa siku ni uamuzi wa muhusika mwenyewe regardless ya options nyingi..Ila kama uliyoyasema yana ukweli mwenye hiyo nyumba anafeli sana.
Kuhama dar ndio kunalazimisha mtu lazima auze nyumba?Kwa nini asipokee kodi hiyo ya milioni 1 then dodoma apange nyumba ya laki 4,anabakiwa na laki 6 chenji?
Maana hata kama mtu akihama nyumba haiwezi kuibiwa maana haina matairi,na si lazima mpaka nyumba yako uione kila wakati.
Kuna watu wanamiliki nyumba kila mkoa na hakuna kinachoharibika wanapokea kodi zao bila ya kwenda.
Daaa tumuachie MunguTatizo fedha mzee, hiyo yako unweza kuitangaza, nusu mwaka, haijapata mnunuzi, ile unauza tu yako, ukipiga simu kuulizia nyumba hii, unaambiwa umenunuliwa juzi.
Kwakweli nyumba ilivyo ni bei nafuu, ila pesa tatizo.
haina mkuu....utapata wasaa wa kuulisa majiraniHaina mauza uza?