Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuwaje nyumba nzuri namna hii haiuziki kwa bei chee hivyo? Au wanunuaji wakifika hapo kuna kitu wanaambiwa na majirani?
hakuna jambo lolote la tofauti kwenye hii nyumba..biashara ya nyumba sio kama magari mkuu kuwa utatangaza leo uuze kesho..
ni kawaida kabisa kuwa hivi..ila nyumba iko sawa haina shida yeyote
shukrani mkuuSawa mzee baba. Kila la kheri.
Umesoma comments kwa umakini dada? Sababu ipo ingawa haina mashiko sana, maana huyu jamaa akihamia ulaya atauza hadi ndugu zake waliobaki nchiniKwanini inauzwa?