House4Sale nyumba inauzwa tabata magengeni

Mkuu, nyumba ni nzuri na eneo ilipo linaifanya nyumba iwe na thamani kuliko bei uliyoitaja...kwalugha nyingine inauzwa bei chee sana... sasa kwanini iuzwe tena kwa bei rahisi hivyo...hata kama ni kuhamia dodoma..
 
boss bei ni reasonable kabisa...mwanzoni alikua anaiuza mil 120 ikakaa muda sana pasipo kuuzika ..so akaamua kushusha bei ili iiuzike kwa haraka

na ukiwa unataka kununua nyumba lazima ufatilitilie historia ya nyumba..milango iko wazi utafatilia kwa majirani,mwenyekiti wa mtaa na sehemu yyeto ambayo unaona unaweza kupata taarifa

ila kukuasure ni kuwa nyumba haina tatizo lolote
 
Mkuu, nyumba ni nzuri na eneo ilipo linaifanya nyumba iwe na thamani kuliko bei uliyoitaja...kwalugha nyingine inauzwa bei chee sana... sasa kwanini iuzwe tena kwa bei rahisi hivyo...hata kama ni kuhamia dodoma..
Pia mkuu..kitu chenye thamani ni kiwanja boss na wala sio nyumba..viwanja huwa vina appreciate value wakati nyumba huwa inadepreciate value

kwa wazoefu wa ujenzi nyumba mpya kama hio unaweza kuijenga kwa mil 60..so hii nyumba tuassume imedepreciate mpaka 50m. Then kiwanja tukipe 40m (kwa maana kwamba value rate ya segerea ni 50000 per square meter ×800sqm=40000000)

hapo ukijumlisha bei ya nyumba 50m na bei ya kiwanja 40m unapata 90 m

So hio bei ni reasonable kabisa
 
asante mkuu..Hakika maelezo yako yamejitosheleza na sina doubt tena..Kila la kheri mkuu
 
asante mkuu..Hakika maelezo yako yamejitosheleza na sina doubt tena..Kila la kheri mkuu
 
Ila kama uliyoyasema yana ukweli mwenye hiyo nyumba anafeli sana.
Kuhama dar ndio kunalazimisha mtu lazima auze nyumba?Kwa nini asipokee kodi hiyo ya milioni 1 then dodoma apange nyumba ya laki 4,anabakiwa na laki 6 chenji?
Maana hata kama mtu akihama nyumba haiwezi kuibiwa maana haina matairi,na si lazima mpaka nyumba yako uione kila wakati.
Kuna watu wanamiliki nyumba kila mkoa na hakuna kinachoharibika wanapokea kodi zao bila ya kwenda.
 
Ndio boss ni ushauri mzuri..ila mkuu suala la kuuza mwisho wa siku ni uamuzi wa muhusika mwenyewe regardless ya options nyingi..

ni kama ww mfano una Ist unataka kuiuza maybe unataka ku upgrade gari..mtu anakuja anakuambia kwa nni usiifanye hio gari iwe ubber kwa muda flani itakua imekuingizia hela utaweza kununua gari kubwa kupitia mapato yake halafu mwisho wa siku hio ist itabaki kuwa yako pia...
 
Tatizo fedha mzee, hiyo yako unweza kuitangaza, nusu mwaka, haijapata mnunuzi, ile unauza tu yako, ukipiga simu kuulizia nyumba hii, unaambiwa umenunuliwa juzi.
Kwakweli nyumba ilivyo ni bei nafuu, ila pesa tatizo.
Daaa tumuachie Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…